Nipo...tumekufa kiume
kwa kweli mmekufa kiume
Tunalifkiria FA kwanza
Hajawahi kukosa hata msimu mmoja kutokucheza UEFA
Ozil ni bonge la mchezaji...anakosa wa kucheza nae tu,,,afadhali Ramsey walikuwa wanacheza vizuri pamoja na Flamini.
mle anacheza na nyani au?? Ina maana team ya asenane anapangwa yeye Tu??
Hawa arsenal wanabania timu za kazi..msimu wa 16 mfurulizo wamacheza uefa ila fainali wameiona mara moja tu.
Ila poa tumekufa kiume kamaa yanga tu,tusubir mwakan
Wasindikizaji miaka yote