Bayern Munich vs Arsenal - UEFA Champions, March 11, 2014

Bayern Munich vs Arsenal - UEFA Champions, March 11, 2014

Hamna kitu? We subiri

Mkuu lazima tukubali ukweli..bado hatuna timu ya kumfunga bayern wala kuchukua kikombe...ivi unaweza kuwa na ndoto za ubingwa ukitegemea fowadi mbovu kama Giroud au Podolski?
 
Flamin anaingia badala ya chambalen na Ribery out muller in
 
Mkuu lazima tukubali ukweli..bado hatuna timu ya kumfunga bayern wala kuchukua kikombe...ivi unaweza kuwa na ndoto za ubingwa ukitegemea fowadi mbovu kama Giroud au Podolski?

baelezee baelezee
cc. Wacha1
cc. utafiti
 
Last edited by a moderator:
Kama leo MUME atakufa kwa ukimwi na MKE atakufa kwa ukimwi, arsenal nje UEFA ila man u, man city, chelsea zijiandae
 
Jahazi la asenal linapigwa mawimbi ya nungwi, penati kuelekea lango la asenali
 
Penati anaokoa kipa wa asenali na mpira unaelekea kuisha
 
Uozo aka Ozil hawezi mechi ngumu kama hizi asubir mechi za fullham na Sunderland

Ozil ni bonge la mchezaji...anakosa wa kucheza nae tu,,,afadhali Ramsey walikuwa wanacheza vizuri pamoja na Flamini.
 
Back
Top Bottom