Bayern Munich vs Arsenal - UEFA Champions, March 11, 2014

Hii game naiangalia nikiwa na vidonge vyangu vya kutuliza malaria, na vile vingine vya kutuliza hasira, na pia nina vidonge vya kushusha presha, na kwa hasira zaidi nina biblia ya kufukuzia mapepo, maana mtu unaweza ukajikuta unajitundika ati​

Eeeeeeh Bujbuji bora yako umechukua tahadhari!
 
Hii game naiangalia nikiwa na vidonge vyangu vya kutuliza malaria, na vile vingine vya kutuliza hasira, na pia nina vidonge vya kushusha presha, na kwa hasira zaidi nina biblia ya kufukuzia mapepo, maana mtu unaweza ukajikuta unajitundika ati​

Bora yako Wewe bujibuji umechukua tahazari mapema!
 
Arsenal kama yanga tu..tusubilie na wao wafe kiume..liverpool mkombozi wa waingereza naona mambo sio mabaya mwakani tutawakilisha..
 
Back
Top Bottom