haina kujificha,
always gunners
Ktk wanazi wa asenali nimekubali wewe mvumilivu
haina kujificha,
always gunners
tulia,kesho zamu yako!man7
Football ni mchezo wa combination...usilete ushabiki maandazi mie sio wa ivyo.
Hajawahi kukosa hata msimu mmoja kutokucheza UEFA
Natabiri draw ya 1-1
Kushiriki mara tisa bila kombe, na aliyetwaa kombe mara moja ndani ya miaka tisa nani mkali? Arsenal ni sawa na Mtibwa Sugar kwenye VPL.