Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
Hahaha leo ni uxnd kwa gunez tegemeen maajabu 2 leo kma mnabixa 2kutne kexo hapa hapa
Kwa huo uandishi huo umeponza wenzako.Hamtopata hata goli la kuotea!!
Hahaha leo ni uxnd kwa gunez tegemeen maajabu 2 leo kma mnabixa 2kutne kexo hapa hapa
Let us be realistic wakuu...mathematically Arsenal is out!
Ningependa sana Arsenal wapite ila Moyo unakataa kabisa.
AssAnal anakufa kiume kama Kandambili,,teh teh teh
Kifo ni kifo, hakina jinsia
Nimechoka sana nimeamua bora nilale tu, wale ambao mtacheck Game msisahau kutupa Updates.
Nimekuja kushuhudia hii inayoitwa miujiza!
Umemaliza mkuu, na sioni la ziada au kuna mtu anabisha?
Wale wapenzi wa aseno mko wapi tushirikiane kutazama game?
Hahaha leo ni uxnd kwa gunez tegemeen maajabu 2 leo kma mnabixa 2kutne kexo hapa hapa