Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
anawapelekesha ile mbaya hadi wameshindwa kuushangaza ulimwengu.
Watakoma Leo!
anawapelekesha ile mbaya hadi wameshindwa kuushangaza ulimwengu.
Anasema aliteleza akaanguka
Kwani ule ugonjwa wake Wa kuanguka bado tu hajapona?
Kuna dawa amepewa na Dr. Manyuki akaambiwa hataanguka tena ndiyo amekuja kuifanyia kazi hapa Munich
Ningependa sana Arsenal wapite ila Moyo unakataa kabisa.
Mbona leo tena tunachezewa mpira kama tupo pungufu?mpira mbele haukai kabsa
Watakoma Leo!
Ntuzu hebu usinizidiashie mauvivu
pole pole pole mdau
Mbona leo tena tunachezewa mpira kama tupo pungufu?mpira mbele haukai kabsa
Arsenal inalinda zaid kushambulia,nadhani kuna gap kati ya midfield na washambuliaji. Kuna haja kuingia Rosicky na mpiganaji flamini.
Unajua formation ya arsenal Leo 5 3 1 1 ambayo Wenger anatakiwa kubadilika. Kwani hii ni ya kidifend zaid
Anko tom anatakiwa aingie acheze namba nane kisha chambalain achukue winga kwa ajili ya kubreak hapo maana yake ozil anatakiwa kwenda nje mechi sio saizi yake kabisaa
Pole Mkuu