Bayern Munich vs Arsenal - UEFA Champions, March 11, 2014

Bayern Munich vs Arsenal - UEFA Champions, March 11, 2014

Anko tom anatakiwa aingie acheze namba nane kisha chambalain achukue winga kwa ajili ya kubreak hapo maana yake ozil anatakiwa kwenda nje mechi sio saizi yake kabisaa



Jamani Ozil kawa mzigo!
 
Hii game naiangalia nikiwa na vidonge vyangu vya kutuliza malaria, na vile vingine vya kutuliza hasira, na pia nina vidonge vya kushusha presha, na kwa hasira zaidi nina biblia ya kufukuzia mapepo, maana mtu unaweza ukajikuta unajitundika ati​
 
Back
Top Bottom