Bayern Munich vs Arsenal - UEFA Champions, March 11, 2014

Hata kwa bahati mbaya leo arsenal hawezi kushinda natabiri atleast atafungwa 3.
 
Liwalo na liwe...hii timu(Arsenal) inatutesa sana mashabiki wake. Pamoja sijui tutafungwa goli ngapi leo,lakini ukweli ni kwamba leo ndiyo tunahitimisha safari ya mashindano haya kwa kutolewa na Bayern Munich. Hutaki Unaacha.
 
Hameni huko!!
 
Updates please! Wengine Leo hatuko Karibu na tv!
 
Hapa naona hata kama Bayern wakiwa watu 10 vs 11 bado hatuna nafasi ya kuwatoa.. Bado mapema anyway
 
Back
Top Bottom