Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Akina Esta Wasira, ndio wanahitajika sana BAWACHA. Hata BAVICHA iko ngazi ya Taifa tu, tuach unafiki na kujenga hivi vyombo viwili. Kitu kinachoniudhi sana, kuna viongozi feki ambao hujitokza wakati viongozi wa kitaifa wanapokuja. Siku hizi wanaumbuliwa, maana huwa hawana uthibitisho wa kutenda kazi. Dk huwa anawapiga chini mara moja. Sasa wanawake nao wamekuwa waoga sana, sijui wamerogwa na zile kanga zenye picha huku. Hebu wanawake zungunzeni, au tufute viti maalumu kabisa kama hamtaki uongozi.