BAVICHA waandaa Mandamano ya amani ya kumpongeza Mbunge Ester Bulaya baada ya kufanikisha Kikokotoo

Mimi Kigoma wapi na wapi hujui kitu unarukaruka tu. Mimi ni Dar na Mwanza. Muda mfupi uliopita nimeteremka Airport Mwanza nimekuja kuchunga ng'ombe wangu na kulima pamba kabla sijarudi Dar kwa wazaramo wangu. Wewe kweli ni Bila bila
Very good , kwahiyo ni wazi sasa kwamba kumbe mapovu mengi unayomwaga humu kinachokusumbua ni kiherehere cha ukabila , naona sasa mmeishaanza kujianika wenyewe !
 
Policcm watasema ,habari za kiintelijensia zinaonyesha kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani stop this by kijani kibichi.
 
UVCCM walikuwa wanampongeza mkuu wa nchi. Hawa wanataka kumpongeza Mbunge wa Jimbo hivyo ni vyema wangeenda jimboni kwake kuandamana na kumpongeza jimboni kwake. Sasa hawa wanaenda kuandamana kwenye jimbo la Rioba wa CCM!
Mnaanza kuwapangia kwa kuandama, sheria za nchi weka pembeni tunaenda kwa utashi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sionagi utetezi wa wabunge wa ccm kwa wananchi au jamii kwa ujumla... Kazi kukata viuno tu bungeni.
Hongera Bulaya.
 
Sionagi utetezi wa wabunge wa ccm kwa wananchi au jamii kwa ujumla... Kazi kukata viuno tu bungeni.
Hongera Bulaya.
😆😆😆😆mkuu nimetafakal hayo maneno yako nimeishia kucheka.....wananengua tu😆😆😆
 
Back
Top Bottom