Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,898
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ibariki Bavicha
Kwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!Tutaona unafiki wa hawa wanaojiita walinda ccm
Umelianzisha Kigoma sasa unaanza kurukaruka.?Kwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!
Aisee! Subiri tuone.
Mimi Kigoma wapi na wapi hujui kitu unarukaruka tu. Mimi ni Dar na Mwanza. Muda mfupi uliopita nimeteremka Airport Mwanza nimekuja kuchunga ng'ombe wangu na kulima pamba kabla sijarudi Dar kwa wazaramo wangu. Wewe kweli ni Bila bila
We jamaa ni mpuuzi sana.Kwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!