BAVICHA waandaa Mandamano ya amani ya kumpongeza Mbunge Ester Bulaya baada ya kufanikisha Kikokotoo

Wafanyakazi shangilieni kwa nguvu , maana aliyewaokoa sasa kawa Mnadhimu Mkuu wa Upinzani bungeni , tunaamini baada ya kikokotoo sasa atahakikisha haki yenu ya kupandishiwa mshahara mnaipata
 
Back
Top Bottom