BAVICHA waandaa Mandamano ya amani ya kumpongeza Mbunge Ester Bulaya baada ya kufanikisha Kikokotoo

Tuone sasa kama watafanya double standard kati ya UVCCM na BAVICHA. Ntashangaa sana wakizuia
 
Tuone sasa kama watafanya double standard kati ya UVCCM na BAVICHA. Ntashangaa sana wakizuia
UVCCM walikuwa wanampongeza mkuu wa nchi. Hawa wanataka kumpongeza Mbunge wa Jimbo hivyo ni vyema wangeenda jimboni kwake kuandamana na kumpongeza jimboni kwake. Sasa hawa wanaenda kuandamana kwenye jimbo la Rioba wa CCM!
 
Kwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!
Rejea hapa....
IMG-20190106-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kibali ni ndoto kukipata. Na wakiamua kuandamana bila hicho kibali ninachoona ni mapipa ya maji ya kuwasha yatakayotumika, mabomu ya machozi, risasi za mpira na risasi za moto ikibidi. Virungu ndio haswaa. Na rumande za huko waliko zinaenda kufurika.
 
Back
Top Bottom