Kama ulivyo mpuuzi wewe tena umezaliwa 1990!
Kama ulivyo mpuuzi wewe tena umezaliwa 1990!
Kwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!
Hakihitajiki kibali ni taarifa tu na kuandamana. Wa Mwanza sijui walijua atakachosema rais wakaandamana siku hiyo hiyo na kupokelewa na RC.
Tutaona unafiki wa hawa wanaojiita walinda ccm
Kwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!
Lakini wote wanahaki ya kuandamanaKwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!
daaah kwa nchi hii hapo naona hizo bomu za machozi tu, wakiruhusiwa nishtueni 🤣🤣🤣🤣🤣
ungetua Schiphol ,JFK or Narita...ungetangaza tangazo Clouds FMMimi Kigoma wapi na wapi hujui kitu unarukaruka tu. Mimi ni Dar na Mwanza. Muda mfupi uliopita nimeteremka Airport Mwanza nimekuja kuchunga ng'ombe wangu na kulima pamba kabla sijarudi Dar kwa wazaramo wangu. Wewe kweli ni Bila bila
Bavicha huwa hawaigi mambo kama uvccmKwani UV-CCM wameandamana kuhusu kikokotoo? Wanaoandamana si wafanyakazi?? Bavicha naona hazimo!!
Mkuu umenikumbusha Schiphol Amsterdam wakati nakaa kwa mabeberu UK nilikuwa napita sana hapo Airport nikiwa na KLM.ungetua Schiphol ,JFK or Narita...ungetangaza tangazo Clouds FM
bavicha kuandamana ni utoto, ila uvccm kuandamana ni ujanja
Kweli mkuu!bavicha kuandamana ni utoto, ila uvccm kuandamana ni ujanja
naona unaendeleza utoto, ungeniuliza tu namaana gani kusema kna utoto,mie hao bavicha nawajulia humu mitandaoni tu mkuubavicha kuandamana ni utoto, ila uvccm kuandamana ni ujanja
Hapa ukisikia 0, 6 na 9 zinabaki na maana hata zikigeuzwa ndiyo hii sasa
Sent using Jamii Forums mobile app