Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Nilipoona neno "siliasi" nikajua hamna kitu hapo. Mara tu wamesahau wenzao waliondamana kwa kutambaa hapo Dodoma wakihimiza kurudishwa kwa jina lililokatwa.
Hekima inatakiwa itumike bahati mbaya hata nyumba kuu kuna uhaba wa hekima
Uoga ni dhambi mbaya na kubwa kuliko zote .Mimi naona bora hao BAVICHA waende tu Dodoma ili wakakipate watakachokipata ili siku nyingine wasirudie tena kufanya ujinga kama huo.
Mnao ishi kwa hofu ndio hufa mapema Sana ninyi.Tafadhali fika central kesho saa tisa mchana kwaajili ya mahojiano
Wakianza hivi itakuwaje wakichanganya na zile imani zetu...Nawaunga mkono linda amani kama rais alivyoagiza
Litakuwa janga la taifa kama halitochukuliwa kwa umakini. Ogopa sana watu wakichoka. Mie nawashauri si CHADEMA wala CCM, kwa wote kuridhia uhuru ndani ya katiba ya nchi. Hii itatupeleka vyema huko tunapohitaji. Si kwa jinsi mambo yalivyo sasa... kila chama kinagombea fito ya Tanzania.Watu watabaki vilema...
Hivi kama hakuna mkutano hadi 2020,je uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 hautakuwepo ama utafanyika bila mikusanyiko? Naomba kueleweshwa jamaa.
Mh!! Bado sijakuelewa mwanangu unamaanisha nini.mkuu vijana wa ccm ni janga LA taifa kama kilivyo chama chao