BAVICHA Mara safari yaiva kuelekea Dodoma

BAVICHA Mara safari yaiva kuelekea Dodoma

Wapimwe akili kwanza, hawa ndio wanataka kuzuia mafuriko kwa mikono. Tusubiri matokeo
 
wako sahihi na wanasema ni bora kufa kishujaa kuliko kufa kwa aibu haiwezekani mtu aliye itunga sheria harafu yeye ndio akawa mtu wa kwanza kuichezea kama njugu.
 
Kila mchuma Janga hula na nduguye, nendani yakawakute ya kuwakuta wakati Mbowe atakuwa katulia akiwatazama katika tv huku akila bata.
Cha nyuma ww mbowe ni mwenyekiti Taifa huu moyo ni bavita Kama hujui ni vijana chedema
 
Karibuni Idodomya mtakapovunjwa viuno vyenu na miguu. Hii si Serikali ya JK ya kunywa chai Ikulu na nyumbu ni Serikali ya kazi. Mtapigwa hadi msalimu amri na tusiwaone mnakimbia hovyo kupora watu mitaani, mtauawa.
TUTAANZA NA WEWE
 
Nadhani mujinga in aliyehangaika kupigwa kitu akahifadhi upuuzi tumbini kwa miezi tisa akakuleta duniani kituko cha aina yako

Utakufa utaziacha siasa zikiendelea,mbaya zaidi wewe ni mshabiki wa siasa usiyoijua hata definition yake.
Yanini mmtukanie mzazi wake? Mara mia ungemtukana yeye kama yeye,kama ninavyokuambia kwamba wewe ni pimbi na punk uliyekubuhu.
 
Tul
Karibuni Idodomya mtakapovunjwa viuno vyenu na miguu. Hii si Serikali ya JK ya kunywa chai Ikulu na nyumbu ni Serikali ya kazi. Mtapigwa hadi msalimu amri na tusiwaone mnakimbia hovyo kupora watu mitaani, mtauawa.
tulia, vijana wanasema lazima wahakikishe kauli ya Mh Rais haikaidiwi. Mikutano yoyote, maandamano yoyote hadi 2020.
 
Jamani namwomba Mh Mbowe aingilie kati

Kwa nini viongozi wakuu wasiende kuongea na Mkulu wa nchi ili suluisho pia na amani vikatawala!

Pamoja na matatizo madogo madogo bado nchi yetu INA amani, ni vyema tuendelee kuijenga, kuiimarisha na kuilinda
Nani kakuambia wanaenda kupigana au kuhatarisha amani?
 
Mwalimu angalikuwa mwoga hii nchi isingepata uhuru mwaka 61. Siasa na woga haviendani. Hata ivo wanakwenda kuisaidia police kama wazalendo wa taifa hili kuhakikisha kauli ya Mh Rais inaheshimiwa. Gogoro nini pajuani weye...!!!
Utakufa utaziacha siasa zikiendelea,mbaya zaidi wewe ni mshabiki wa siasa usiyoijua hata definition yake.
Yanini mmtukanie mzazi wake? Mara mia ungemtukana yeye kama yeye,kama ninavyokuambia kwamba wewe ni pimbi na punk uliyekubuhu.
 
Huwa nashangaa kuwepo binadamu kama wewe hapa duniani[emoji32] !!
Kila mchuma Janga hula na nduguye, nendani yakawakute ya kuwakuta wakati Mbowe atakuwa katulia akiwatazama katika tv huku akila bata.
Hivi waliopigania Uhuru mpaka unapatikana nchi hii walikuwa raia wote wa Tanzania?
 
Tumeshaunda kamati za amani kila wilaya so usijari amani ipo
Jamani namwomba Mh Mbowe aingilie kati

Kwa nini viongozi wakuu wasiende kuongea na Mkulu wa nchi ili suluisho pia na amani vikatawala!

Pamoja na matatizo madogo madogo bado nchi yetu INA amani, ni vyema tuendelee kuijenga, kuiimarisha na kuilinda
 
Makaburu waliwapiga hivi hivi, wananchi wa Afrika kusini, yako wapi sasa? Wako tena madarakani?
mkuu siyo afrika kusini tu hata hapa kwetu tulikuwa na akina mkwawa,kinjekitile ngwale,mango sin,milambo na wengine wengi je waliowaua au kusababisha vifo vyao bado wapo wanaitawala Tanzania
 
Huwa nashangaa kuwepo binadamu kama wewe hapa duniani[emoji32] !!

Hivi waliopigania Uhuru mpaka unapatikana nchi hii walikuwa raia wote wa Tanzania?
mkuu vijana wa ccm ni janga LA taifa kama kilivyo chama chao
 
Back
Top Bottom