Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,413
- 2,275
Ni kweli mkuu kama usemavyo, sipo huko, lakini nimewahi kuwa huko kwa kipindi fulani hivi na naelewa pale palivyo. Kuna wagombea pia wa vyama vingine walikuwa wakitumia mtaji wa Rostam-wanajitangaza kwa mbwembwe wanagombea, halafu Rostam anawaita na kuwapoza kwa kitita. Hawa nao walisaliti juhudi za kuweka uongozi mbadala pale Igunga, sijui safari hii hali itakuwaje.
Hivi yule bwana alijitoa dakika za mwishoni kabisa alikuwa wa chama gani vile? nasika na pesa yenyewe hakuipata je ni kweli mliokuwa huko?