Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Minadhani mwenzetu kahoji kama mdau wa siasa hakuhoji kama yeye ni CCM, chamsingi nachamaana naingekua busara zaidi kama hoja hii inge jibiwa na viongozi wa CDM sio vifuata upepo,ambao hata yalipo makao makuu ya chama hampajui
Wanahangaika.
Waliloliita "pigo takatifu" sasa kila kitu nje nje. Na hii ndiyo ilikuwa karata yao ya mwisho. Bahati mbaya (Ni Mapenzi ya Mwenyezi Mungu), wameicheza stupidly.
Safari ya ukombozi inaendelea. Zamu hii wapiganaji wakiwa na nguvu kemkem.
Minadhani mwenzetu kahoji kama mdau wa siasa hakuhoji kama yeye ni CCM, chamsingi nachamaana naingekua busara zaidi kama hoja hii inge jibiwa na viongozi wa CDM sio vifuata upepo,ambao hata yalipo makao makuu ya chama hampajui
Ninachotaka kuona ni HAKI inatendeka, misingi ya Usawa na Utawala Bora inaheshimiwa.
Mkuu,
Chadema ina idara ya mitandao ya jamii. Wengi unaowaona hapa wako kwenye idara hiyo. Kinachoshangaza ni kuona idara ya chama inamshambulia kiongozi wa chama hichohicho. Kazi ya kumshambulia Zitto pia imefanywa sana na gazeti la Tanzania Daima.
Tatizo kubwa zaidi ni kwamba wanavuka mipaka na kutumia jumuiya ya chama kama Bavicha kuhalalisha maovu...
Hakika Beni akitimuliwa ndani ya CDM bac nasafari yake ya kisiasa itakua imeishia hapo. Hakika Beni ni m-mbeya na mchonganishi hafai kua hata rafiki, bola uishi na mtu mchoyo kuliko kuishi na mtu m-mbeya mwenye majungu utafikili muimba taarabu kama Beni. Kunamsemo wa k-portugues unaosema"seu amigo e inimigo" sasa Beni ni "INIMIGO" kinacho mlea CDM ni ukanda na udini tuKwa hiyo unataka Ben afukuzwe ili ajee mumupokee kwa mikono 2 kwa macho yote pua na mguu yote?.
Aya.......yaaani mnayoyafanya kule kwenye ofisi yenu upanga mnadhani na wengine ni hivyohivyo? Nani aliyesema BASHE sio Raia? Nani aliyesema MASAUNI kafoji cheti cha kuzaliwa? Nani aliye engineer SITTA kukosa usupika? Nani aliyesema SALIM ndiye aliyemuuwa Karume?
Maoni ya kila mtu tunayaheshimu, ila jitahidi usitoke nje ya mada.
Hiki ulichoandika ni nje ya mada ya impunity ndani ya Bavicha tunayojadili...
Kwa hiyo tusijadili UVCCM yako? Kama hutaki hilo basi na wewe usijadili BAVICHA
Hujakatazwa kuanzisha thread ya jumuiya unayotaka kujadili. Mjadala wa hapa ni Bavicha na impunity kwa anayemchafua Zitto Kabwe.
Ninachotaka kuona ni HAKI inatendeka, misingi ya Usawa na Utawala Bora inaheshimiwa.
Aya.......yaaani mnayoyafanya kule kwenye ofisi yenu upanga mnadhani na wengine ni hivyohivyo? Nani aliyesema BASHE sio Raia? Nani aliyesema MASAUNI kafoji cheti cha kuzaliwa? Nani aliye engineer SITTA kukosa usupika? Nani aliyesema SALIM ndiye aliyemuuwa Karume?
Kwakua hujui ni kipi basi ni bola niku ache, wahenga walisema "Asie jua maana usimpe maana" kwahiyo siwezi kukupa maana mtu usie jua maanaSasa hapa ndio walipo viongozi wa CDM au tupo wanachama wa JF? hebu wewe unayejuwa yalipo makao makuu ya chama (sijui kipi) muelekeze
Ni wapi nilikomchafua
BAVICHA inakuhusu nini wewe CCM?Ni lini umeanza kuwa na nia njema na CHADEMA?
Jamaa wana mawazo kama ya Alfonso Jakama (m/kiti wa Renamo) Huyu jamaa anatatizo la ubinafsi, kilasiku anataka asifiwe yeye tu ikitokea akasifiwa mtu mwengine ndani ya chama kupita yeye basi mtu huyo atafute chama chengi nasio Renamo. Kulikua na mtu anae itwa Davide Simango huyu jamaa alikubalika ndani ya chama nanje ya chama alikifanya chama kipendwe navijana wengi kutoka kila makundi, lakini mwisho wake alitimuliwa ndani ya Renamo, na kwenda kuanzisha chama chake. jambo lilo fanya Renamo kukosa ushawishi na kubaki kutishia kuingia msituni kila kukicha. Kwahiyo hata CDM wana tatizo kama hilo ( kila sifa apewe Slaa na Mbowe) bilakujua (au wanajua ila wanabisha tu) kua Zitto anakubalika na wengi aijalishi itikadi ya chama. Binafi CDM siikubali ila Zitto namkubali ile mbaya, labda walitaka nayeye awe mchaga.Mkuu,