BAVICHA bado wapo kazini, hawalali

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,908
#Bavicha mzigomi

Pale Lumumba walidhani kuzuia viongozi kufanya mikutano, kuwatia misukosuko viongozi wa kitaifa kwa kutumia polisi ndo tayari wameua, wamemaliza kazi! Sasa wanashangaa They are still alive.

Maelfu ya Vijana wa kike wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi kila kona ya nchi. Kila kona ni #Bavicha Mzigoni Na hii ni #BavichaQueens chini ya #DorcusFrancis. Mwaka huu ng'ombe haelekezewi kibra, Atachinjwa alivyolala
 
Dawa ni kujitokeza kwa wingi mikutano ya ndani ili hata akiagiza difenda wasitoshe wote.Maana jamaa ana hila mbaya sana na nchi yetu,furaha yake ni kuona tumesambaratika kwa faida ya nchi yake
 
Mkuu chadema mbona mnaanza teka kidogo akili yangu jamani ,Alafu Mkuu kwenye iyo video naomba connection na huyo mtoto alievaa kofia nyekundo tupige ndoa faster ,mtoto mzuri sana
 
kama nchi ingekuwa inachuliwa kwa video Chadema mshachukua nchi zamani sana tangia picha za mafuriko ya Edlow.
 
Chadema iko kwenye damu ukiangalia kazi iliyofanywa na vyombo vya dola-ccm kuiminya Chadema huwezi amini kuwa kutakua na hata wanachama 10 wamebaki. Lakini ndio kwanzaaaa; tunaanza upyaaa!
 
Kwa Tume hii hii?,sawa,msije kulalamika tu baada ya matokeo kutangazwa ,hamchelewagi kulialia
 
FB_IMG_1593062728442.jpg
 
Mambiti nao washashituka kwamba nchi yao inahitaji ukombizi wa kifikra ili kumwondoka mkoloni mweusi...swaafi saaaana.
 
Chora picha hawa wangekuwa wamepata uwanja sawa na wenzao wa UVCCM kwa miaka yote 5!!!!
 
Back
Top Bottom