BAVICHA Arusha yazidi kujizatiti

Nimeona mechi moja kata ya Kingori nilichogundua wengi sio wakazi wa arusha wanaocheza inaonekana wanatoka Tarime maana kupigana na matusi ni nje nje halafu cha kushangaza wachezaji hawavai jezi wanavaa magwanda kama ya mgambo na chini ni bukuta ya kaki! Wanunulieni jezi basi na viatu!

Tutaendelea kuhamasisha vijana kwa kutumia njia mbalimbali,ikiwemo football,ili kuleta mshikamano,na kuwajengea ujasiri wa kudai haki zao,ili hatimae tuwe na taifa la majasiri...

HII TUNASEMA Twanga Kote Kote mpaka kielewekeeeeeeeeee!!!! Ntakuja hiyo kesho MUNGU aki2jalia. Hongera BAVICHA na hongera kijana mwenze2 na diwani wangu Nanyaro hongera sana na hakika tuko nyuma yako A to Z!!

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

Tata Mwita mbona una mashida sana na Chadema ? Mbona nakujua una uwezo mzuri tu wa kuchambua mambo kwa manufaa ya Nchi hii badala ah Malumbano ya kitoto tata .Hebu zinduka kama kauli mbiu ya KAFU win heshima ya wana JF

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

Bado kidogo utavaa chupi kichwani ukijua ni kofia. Chukua tahadhari

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.
Hizo posho ni za walipa kodi sasa zikirudi kwao kuna tatizo gani kuliko kwenda kunufaisha mabenki ya Swiz bora kutumia kwa watanzania wenyewe.
Pole ndugu

CDM mwendo mdundo, wakati mkitumia ubunifu kuwa karibu na wananchi, CCM wanafikiria kutumia ndumba kama Mwita25

Hongera sana CDM Arusha na wengine tuige kutoka ACity ili kuimarisha mshikamano kati ya vijana waliotelekezwa na serikali yetu ya mafisadi + magamba = WEZI

Nimeona mechi moja kata ya Kingori nilichogundua wengi sio wakazi wa arusha wanaocheza inaonekana wanatoka Tarime maana kupigana na matusi ni nje nje halafu cha kushangaza wachezaji hawavai jezi wanavaa magwanda kama ya mgambo na chini ni bukuta ya kaki! Wanunulieni jezi basi na viatu!

Kilaza wa Gambaz naona unajitutumua kutoa pumba.

Bavicha mkoa wa Arusha imezidi kujipanga kwa kuhakikisha kuwa inawatia vijana ujasiri.Katika kupata vijana wameanzisha Bavicha Cup,kombe litakaloshindaniwa kwenye kata zote za mkoa wa Arusha.Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake jana mwenyekiti wa Bavicha mkoa Kamanda Nanyaro,ambaye pia ni diwani wa Levolosi,alisema kuwa watatumia njia zote,michezo na njia mbalimbali kuhamashisha vijana kujua na kutetea haki zao
Kesho Jumamosi tuna fainal Kata ya Kingori,na Jumapili tutazindua Longido,hatutalala hadi kieleweke,alisema Nanyaro...
Source www.chademaarusha.com
BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.
Huo muda mnaopoteza bure mgekuwa mnafanya kazi mnajenga nchi yenu

BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.

Huo muda mnaopoteza bure mgekuwa mnafanya kazi mnajenga nchi yenu

Mchawi wa kike umeifika kaka yako anatishia kuloga watu humu jukwaani,na wewe umekuja nayo hayo matunguli?

BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.

Huo muda mnaopoteza bure mgekuwa mnafanya kazi mnajenga nchi yenu
sawa lakini sisi tunazungumzia bavicha..

bravo'! Bravo cdm arusha hili liendelee hapa hai tuko tayari hata kuchangia il michezo hii iwepo Hai bavicha noma.

sawa lakini sisi tunazungumzia bavicha..
BAVICHA, si ndio wahuni watupu ndio mnapanga maandamano wa kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha mnasomba watu kutoka Kenya Mungiki mlete fujo si ndio.
Jaribuni kuvunja amani ya nchi yetu muone

BAVICHA, si ndio wahuni watupu ndio mnapanga maandamano wa kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha mnasomba watu kutoka Kenya Mungiki mlete fujo si ndio.

Jaribuni kuvunja amani ya nchi yetu muone

Ritz,ficha upumbavu wako,kamwe Bavicha si wahuni,pengine mhuni ni wewe unayeogopa kudai au usiyejua haki zako,maandamano ni njia ya kudai haki,na utu dhidi ya unyonyaji,ukandamizwaji,na udhalimu,Bavicha tutaandamana mchana na usiku,hadi kieleweke,kamwe hatutakaa kimya,kwani wenye haki wakikaa kimya uovu hutawala.
Saa ya ukombozi ni sasa.....

kamloge mama yako aliyekuzaa pumbavu zenu nyie washirikina wakubwa.

Nyie watu mnatuchefua kwa matusi yenu, kwani hamna hoja? kama hujui walikozipata hizo hela si ukae kimya? kwani wewe huna mama? huoni kuwa unajipa nuksi kuwatukana mama zetu? Eeeeeee mungu ondoa pepo hili.

Back
Top Bottom