BAVICHA Arusha yazidi kujizatiti

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Bavicha mkoa wa Arusha imezidi kujipanga kwa kuhakikisha kuwa inawatia vijana ujasiri.Katika kupata vijana wameanzisha Bavicha Cup,kombe litakaloshindaniwa kwenye kata zote za mkoa wa Arusha.Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake jana mwenyekiti wa Bavicha mkoa Kamanda Nanyaro,ambaye pia ni diwani wa Levolosi,alisema kuwa watatumia njia zote,michezo na njia mbalimbali kuhamashisha vijana kujua na kutetea haki zao
Kesho Jumamosi tuna fainal Kata ya Kingori,na Jumapili tutazindua Longido,hatutalala hadi kieleweke,alisema Nanyaro...
Source www.chademaarusha.com

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

posho ni malipo halali kwa wabunge na kama serikali ya magamba haitaki kuziondoa bora chadema wazitumie kwa njia hiyo ili ziweze kuwarudia walipa kodi wenyewe.

Magamba endeleeni kutoa rushwa huko igunga maana huo ndio mwisho wenu wa kufikiria.

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

Mh. Nimrod Mkono na Aden Rage wametoa hizi pesa

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

Hivi wewe ulizaliwa saa ngapi?kamuulize baba yako anapata wapi hela za kukulisha wewe.

Hivi mtu kama wewe na aina hizi za comment ukirogwa utalalamika?

hongera zenu wanachadema,kwa kufanya hivyo itaongeza mshikamano na ari zaidi kwa wanachama,hongera Nanyaro wewe ni mpiganaji Bavicha unaiweza Mungu awatie nguvu

Hivi mtu kama wewe na aina hizi za comment ukirogwa utalalamika?

Yaani vigagula vimejaa hadi kwenye mitandao?? Hakyanani mwaka huu magamba hakuna jambo mtaacha kufanya.

Igunga tayari mmeshatoa kafara sasa hapa JF mmeona mmezidiwa nguvu na hamna hoja sasa umeamua kutishia kutumia ile silaha yenu ya kawaida ya maangamizi. Bahati mbaya hapa hakuna anayerogeka!

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

kwanini unapenda utukanwe we mpuuzi?

Hivi mtu kama wewe na aina hizi za comment ukirogwa utalalamika?

kamloge mama yako aliyekuzaa pumbavu zenu nyie washirikina wakubwa.

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

Waulize kwanza uvccm wa chama chenu wametoa wapi mamilioni ya kuanzisha bank ya vijana inayotarajiwa kuanza hivi karibuni,

CCM ipo toka uhuru na ina miradi mingi kwenye mzunguko. Isitoshe pesa kidogo za ruzuku inazopata huwa tunaweka akiba.

Mwita25 ni sawa na mwezi mchanga. Hakuna mkurya kilaza kama huyu wakurya wengi wana awareness kubwa ila huyu hajui halafu hajui kama hajui lolote.

Cdm go ahead, kwa Arusha kiukweli wamefanikiwa kuwateka vijana hiyo nguvu iliyobaki waipeleke mikoa ya kusini.

CCM ipo toka uhuru na ina miradi mingi kwenye mzunguko. Isitoshe pesa kidogo za ruzuku inazopata huwa tunaweka akiba.

Rudisheni mali za watanzania mlizochuma wakati wa mfumo wa chama kimoja, milkuwa mnachanghisha watu hela ili kujenga viwanja nk. Rudisheni muanze upya, eti mna miradi, mngekuwa na miradi mngehangaika kufisadi mali zetu, huna haya wewe.

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

Unaonekana mtu mzima lakini mawazo yako ni ya kitoto.....Hivi mbuzi ni shs ngapi mpaka useme ni hela za posho,unapoleta hoja hapa JF kumbuka kuwa wewe ni mtu mzima usiwe na mawazo ya kitoto toto mkuu...Fanya kama tunakufahamu,utaona aibu mkuu........

Back
Top Bottom