BAVICHA Arusha wamtembelea Mjane wa Marehemu Msafiri Usa- River

BAVICHA Arusha wamtembelea Mjane wa Marehemu Msafiri Usa- River

Imma01

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
34
Reaction score
25
469742_231899546929706_773467928_o.jpg 303395_4117876754677_887857394_n.jpg 177005_349339011802671_1969644085_o.jpg

katika hali ya kuonyesha ushiriano na umoja, nimeipenda hili swala la Baraza la Vijana wa Arusha kumtemeblea mke wa MArehemu Msafiri aliye uwawa kwa kikatili huko Arumeru Mashariki.

Nivema sana kama chama na kama makamanda wenzake kua pamoja na familia ya marehemu kwakua alifia haki na Chama pia.

Saaafi sana Makamanda wa BAVICHA Arusha kwa kuonyesha ushirika na ukomavu wenu.
 
POLE SANA fAMILIA ILE!
Na wale waliouawa na POLISI wa Andengenye watembelewe!
 
katika hali ya kuonyesha ushiriano na umoja, nimeipenda hili swala la Baraza la Vijana wa Arusha kumtemeblea mke wa MArehemu Msafiri aliye uwawa kwa kikatili huko Arumeru Mashariki.
Safi sana makamanda wa Arusha.
Nivema sana kama chama na kama makamanda wenzake kua pamoja na familia ya marehemu kwakua alifia haki na Chama pia.

Saaafi sana Makamanda wa BAVICHA Arusha kwa kuonyesha ushirika na ukomavu wenu.
 
Napendekeza BAVICHA waandae mkakati wa muda mrefu wa kuisaidia familia hii, japo bado sijajua uwezo wao wa kiuchumi. Ni kweli mahitaji kama mchele, unga na sabuni tuupeleke, lakini tutapeleka hadi lini? hebu kaeni chini, angalieni namna ya kuikwamua familia hiyo ambayo imeondokewa na bread winner kwa namna ya uwekezaji ambao utawasaidia maisha yao yote. Angalieni, kuna watoto wanaosoma? kama ndiyo tuweke mkakati wa kusaidia hata ada. Pia huyu mama anaweza kupatiwa mtaji gani ili afanye kazi itakayomwingizia kipato cha kudumu bila kutegemea kuletewa ready made food.
Ni hayo tuu wadau
 
Ili siyo jukumu la bavicha tu ni jukumu la chama maana marehemu alikufa akijenga chama. Hivyo waangalie namna ya kuhakikisha watoto wa marehemu wanapata elimu ya uhakika siyo wawe wanaenda shule huku wakipiga miayo .
 
POLE SANA fAMILIA ILE!
Na wale waliouawa na POLISI wa Andengenye watembelewe!

Issue hapa siyo kuwa tembelea tu, hapa ni kuwawezesha wategemezi wa marehemu kama walikuwepo....lakini ninacho kijua mimi kuna ambao walikuwa wanatibiwa kwa garama za chama maana wengi tuna jua walio uwawa lakini kuna wengi walivunjika miguu na wamekwa hawawezi kufanya shughulizao kama awali...chama hakija watupa kina wakumbuka na huwa wanakuwepo kwenye mikutano mingi ya chadema Arusha.
 
SAFI SANA MAKAMANDA KWA KITENDO IKI CHA KUMJALI MJANE UYU KWANI MAGAMBAs WALIZUSHA KUWA CHAMA MAKINI CHADEMA KIMEMTELEKEZA, THAT IS VERY NICE
 
Kifo cha msafiri na makamanda wa chadema ni ushindi dhidi ufedhuli wa wapinga haki!mlale pema makamanda wa cdm mliotangulia mkipigania haki,kale kanjia mlikokaacha hivi sasa ni barabara kubwa kuelekea uhuru wa pili wa nchi hii dhidi ya mkoloni mweusi(ccm).machozi ya mwenye haki ni manukato mbele ya mungu,poleni makamanda na pole mjane wetu mrs.msafiri
 
Nawapongeza Bavicha Arusha kwa jambo hili.Hizi ndizo siasa zinazofaa.siasa zinazojali utu na kuthamini mchango wa mashujaa wetu katika harakati hizi

Comrade Nanyaro Ephata na makamanda wengine kwa ujumla hongereni sana kwa jambo hili.Tushirikiane tuone njia ya kuisadia familia hii

Wakati huu pia tuendelee kushinikiza Jeshi la polisi kuhakikisha kila aliyehusika katika tukio lile haki inatendeka.Katika harakati hizi tunapoteza wenzetu wengi njiani,wengine wanajeruhiwa.Tuonyeshe mshikamano kwa vitendo katika kukabiliana na casualities zitokonazo na mapambano haya.

Wapenda mabadiliko wote Jf tuangalie namna ya kusaidia familia hii kwa kushirikiana na BAVICHA na hata chama
Nitawasiliana na kamanda Ephata(mwenyekiti BAVICHA-Arusha) tuone namna bora ya kufanya hili
 
Back
Top Bottom