Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Shida nini mama wa yesu ?[emoji15][emoji15]
Shida nini mama wa yesu ?[emoji15][emoji15]
Anamwomba kigwangala mtaji kwani kaka yake, baba yake, ana taasisi ya kutoa mitaji? Yeye ndiye aliyataka. From nowhere mwanamke anifuate tu tena bongo movie anaomba mtaji wa mls kadhaa, hata mm ningefikiria anataka kuniuzia utam.Wanaume wanachomfanyia batuli sio poa, akiomba mtaji eti wanampa namba ya chumba....
Sawa kunguru wa manzeseKufugwa ni utumwa
Unakuwa unazubaa
Kama kuku ,njiwa na wengineo
[emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kashaacha kudanga na waume za wanawake wenzake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno .Wanaume wanachomfanyia batuli sio poa, akiomba mtaji eti wanampa namba ya chumba....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku alikua akilalamika, hali ngumu akiomba watu mtaji anapewa namba ya room....
Ndo wanapo fail hawa slay queenAngezikusanya kidogo kidogo mtaji ungefika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtafute steve anazo