Batuli Actress ana ujumbe huu kwenu wanaume

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,912
Reaction score
101,405
Kwenu wanaume, najua kuna wakati huwa mnatawaliwa na hasira lakini kabla ya kumtusi au kumkashifu mwanamke rudi nyuma mtazame mama yako, dada zako au hata mabinti zako kama upo mbali nao tazama picha zao kisha utajua unatakiwa kufanya nini kwa mama, mwanamke.

@batuli_actress
 
Kwenu Wanaume, Najua Kuna Wakati Huwa Mnatawaliwa Na Hasira Lakini Kabla Ya Kumtusi Au Kumkashifu Mwanamke Rudi Nyuma Mtazame Mama Yako, Dada Zako Au Hata Mabint Zako Kama Upo Mbali Nao Tazama Picha Zao Kisha Utajua Unatakiwa Kufanya Nini Kwa Mama,Mwanamke Au Bint Wa Wenzio....[emoji1607]
@batuli_actress
Kwa binti mwenye discpline nafaa kumpa upendo na thamani ya pekee ila kwa mpuuzi atakula makofi tu!

Yeye ajipambanue yupo kundi gani la discpline au wapuuzi!
 
Mpuuzi usimpe makofi mkuu,it's like you are trying to prove you are a man wakati tayari tunajua you are!Mpuuzi dawa yake simple just walk away huku akiendelea kuongea na ikibidi urudi the next day then utaona kama atarudia!
Makofi will never be a solution zaidi kuna siku utaongeza na ngumi mwishoe uue bila kukusudia uishie jela
 
Wanawake bhana ndio defence mechanisim zao hizo utaskia ukinisema mimi ni sawa unamsema mama ako labda sababu wote wana vagina sjui anyway

Fakeni kumanyokoo alisema mpo sawa nani mtu yeyote akikosea au akinikosea haijalishi jinsia lazima nikuchane laivu mamaae
 
Hivi vitu nivigumuu yaanii...
 
Sio kwa wanawake tu

Watu wote tuheshimiane.

Hata unavyompuuza omba omba ambae ni kweli ana matatizo fikiria kama angekuwa ni mtoto wako
 
Sura ya mwanamke hutolewa na mama kwa mtoto wake wa kiume.

Mama wa mtoto wa kiume utoa mafunzo yote na kusema yote kwa mwanae.

Hata wanawake wa humu Jf mtakuja kusema yote na uovu wote wa mwanamke kwa mwanao wa kiume ili asiingie mkenge.

Usione hapa Jf watu wanazungumza mkahisi wataropoka.
 
Wanawake bhana ndio defence mechasim zao hizo utaskia ukinisema mimi ni sawa unamsema mama ako labda sababu wote wana vagina sjui anyway

Fakeni kumanyokoo alisema mpo sawa nani mtu yeyote akikosea au akinikosea haijalishi jinsia lazima nikuchane laivu mamaae
Hahahaha

Ova
 
Kwenu Wanaume, Najua Kuna Wakati Huwa Mnatawaliwa Na Hasira Lakini Kabla Ya Kumtusi Au Kumkashifu Mwanamke Rudi Nyuma Mtazame Mama Yako, Dada Zako Au Hata Mabint Zako Kama Upo Mbali Nao Tazama Picha Zao Kisha Utajua Unatakiwa Kufanya Nini Kwa Mama,Mwanamke Au Bint Wa Wenzio....[emoji1607]
@batuli_actress

Kweli aiseee ,kumfanyia vitu vibaya mtoto wa mwanamke mwenzio kwasababu ni mkeo ,ni vizuri kukumbuka kwamba una mabinti na wewe ,una madada na wewe....Karma is real.
 
Kwenu Wanaume, Najua Kuna Wakati Huwa Mnatawaliwa Na Hasira Lakini Kabla Ya Kumtusi Au Kumkashifu Mwanamke Rudi Nyuma Mtazame Mama Yako, Dada Zako Au Hata Mabint Zako Kama Upo Mbali Nao Tazama Picha Zao Kisha Utajua Unatakiwa Kufanya Nini Kwa Mama,Mwanamke Au Bint Wa Wenzio....[emoji1607]
@batuli_actress
Emb tusaidie kumjibu kuwa wakati anapiga mzinga mwanaume kwa lengo la kujipatia mali basi awaangalie kwanza kaka zake na baba yake! Kama hawezi basi atuache tupige tuu maana hakuna namna sasa!
 
Wanawake bhana ndio defence mechasim zao hizo utaskia ukinisema mimi ni sawa unamsema mama ako labda sababu wote wana vagina sjui anyway

Fakeni kumanyokoo alisema mpo sawa nani mtu yeyote akikosea au akinikosea haijalishi jinsia lazima nikuchane laivu mamaae
Duuu wewe ndio wale Kunguru tuliowatoa India kuja kutusaidia kusafisha jiji letu? Baadae tukaanza kulalamika Kunguru hao ndio wanasababisha umeme kukatika?
 
Back
Top Bottom