pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,242
Kusoma ni kugeuza elimu uliyopata kuwa pesa, acha ufala wewe.Amna maumivu makal kwa mtu aliyesoma af akakosa ajira cio powa

Wasiosoma Ili wafanikiwe wanahitaji kuwatumia waliosoma katika nyanja zote, kilimo, uvuvi,usafirishaji, nkMkuu, asante sana. Nimetafuta cha kuongezea kwenye andiko lako nimekosa, limetimia kila idara.
Vipi wanaodhani kwamba wasiosoma wanauwezekano wa kuwa mbali zaidi kwa sababu wamekuwa na muda mwingi wa kupambana mtaani kuliko wasomi waliokaa sana darasani baada ya miaka mingi ndipo wakaruhusiwa kurudi uraiani?
UbarikiweMkuu, wewe ni mgodi unaotembea.
ndugu zangu aliyesoma kasomaWakuu! Naomba nitumie salamu zilizo zoeleka zaidi visiwani, “Hamjambo?”, “Mumesalimika?”.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Pamoja na mateso yote wanayopitia waliotumia muda mwingi mashuleni ambao kwa sasa wamezagaa kila kona ya taifa hili, kiasi cha baadhi kuwatafsiri kama wamepoteza uelekeo, ndugu zangu aliyesoma kasoma.
Afadhali ya yeye anayeteseka muda huu, lakini matumaini ya kesho yake kubadilika ghafla ni makubwa.
Fikiria mtu ambaye ajira zote zinazotoka iwe ni taasisi nyeti au taasisi yoyote ya serikali au binafsi yeye hazimuhusu kwa sababu hajasoma.
Ni bora aliyesoma anaweza kufanya hata kazi za asiyesoma kuliko asiyesoma ambaye kazi za aliyesoma hazimuhusu.
Ni rahisi zaidi kwa aliyesoma kuishi maisha ya ahueni, yaani kati kwa kati sio chini wala sio juu kuliko asiyesoma, asiyesoma akipigika anapigika kweli.
Najua pande zote mbili zina sumu kali sana, na zinatafuta pakuzitemea. Nawakaribisha kwenye huu uzi, zitemeeni hapa. Bila kujali umesoma au hujasoma, unaweza kukaa upande wowote.
Ama namna gani, wewe unaonaje?
Asante.
MUHIMU
Kuendana na uzi huu, msomi ni mwenye elimu ya fani kwa angalau ngazi ya Cheti.
Maisha sio ushindani, kila mtu ana safari yake na ana muda wake wa kufanya kila kitu.Mkuu, asante sana. Nimetafuta cha kuongezea kwenye andiko lako nimekosa, limetimia kila idara.
Vipi wanaodhani kwamba wasiosoma wanauwezekano wa kuwa mbali zaidi kwa sababu wamekuwa na muda mwingi wa kupambana mtaani kuliko wasomi waliokaa sana darasani baada ya miaka mingi ndipo wakaruhusiwa kurudi uraiani?
Binafsi ni degree holder,ila nashauri wazee tupeane moyo,kama ujisikiavyo kuona kazi imetoka afu qualifications wanazozitaka hauna,ndivyo hivyo wajisikiavyo watu ambao hawajasoma katika kuiendeleza mada hii.Tupeane moyo kuwa regardless umesoma au hujasoma,unanafasi ya kufanya kitu na kutengeneza hela..Tupeane moyo wazee inauma sana kutamani kurudi shule ila muda umekutupa mkono,kwamba wakati wako umepita....hii mada inania nzuri ila haitozaa matunda mazuri hivyo tuipotezee ikibidi.Wakuu! Naomba nitumie salamu zilizo zoeleka zaidi visiwani, “Hamjambo?”, “Mumesalimika?”.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Pamoja na mateso yote wanayopitia waliotumia muda mwingi mashuleni ambao kwa sasa wamezagaa kila kona ya taifa hili, kiasi cha baadhi kuwatafsiri kama wamepoteza uelekeo, ndugu zangu aliyesoma kasoma.
Afadhali ya yeye anayeteseka muda huu, lakini matumaini ya kesho yake kubadilika ghafla ni makubwa.
Fikiria mtu ambaye ajira zote zinazotoka iwe ni taasisi nyeti au taasisi yoyote ya serikali au binafsi yeye hazimuhusu kwa sababu hajasoma.
Ni bora aliyesoma anaweza kufanya hata kazi za asiyesoma kuliko asiyesoma ambaye kazi za aliyesoma hazimuhusu.
Ni rahisi zaidi kwa aliyesoma kuishi maisha ya ahueni, yaani kati kwa kati sio chini wala sio juu kuliko asiyesoma, asiyesoma akipigika anapigika kweli.
Najua pande zote mbili zina sumu kali sana, na zinatafuta pakuzitemea. Nawakaribisha kwenye huu uzi, zitemeeni hapa. Bila kujali umesoma au hujasoma, unaweza kukaa upande wowote.
Ama namna gani, wewe unaonaje?
Asante.
MUHIMU
Kuendana na uzi huu, msomi ni mwenye elimu ya fani kwa angalau ngazi ya Cheti.
Hahahahahaha!Asante ndugu mtangazaji,hawa wasiosoma wana tucheka sana sisi tuliosoma ,eti tumepoteza muda bure! wakati siku moja inatosha kwetu kubadilisha life,Wakati wao hata itokee nafasi gani yenye kuhitaji elimu hatoboi.Pia ni majinga matupu hata kuandika hawajui..Wakuu! Naomba nitumie salamu zilizo zoeleka zaidi visiwani, “Hamjambo?”, “Mumesalimika?”.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Pamoja na mateso yote wanayopitia waliotumia muda mwingi mashuleni ambao kwa sasa wamezagaa kila kona ya taifa hili, kiasi cha baadhi kuwatafsiri kama wamepoteza uelekeo, ndugu zangu aliyesoma kasoma.
Afadhali ya yeye anayeteseka muda huu, lakini matumaini ya kesho yake kubadilika ghafla ni makubwa.
Fikiria mtu ambaye ajira zote zinazotoka iwe ni taasisi nyeti au taasisi yoyote ya serikali au binafsi yeye hazimuhusu kwa sababu hajasoma.
Ni bora aliyesoma anaweza kufanya hata kazi za asiyesoma kuliko asiyesoma ambaye kazi za aliyesoma hazimuhusu.
Ni rahisi zaidi kwa aliyesoma kuishi maisha ya ahueni, yaani kati kwa kati sio chini wala sio juu kuliko asiyesoma, asiyesoma akipigika anapigika kweli.
Najua pande zote mbili zina sumu kali sana, na zinatafuta pakuzitemea. Nawakaribisha kwenye huu uzi, zitemeeni hapa. Bila kujali umesoma au hujasoma, unaweza kukaa upande wowote.
Ama namna gani, wewe unaonaje?
Asante.
MUHIMU
Kuendana na uzi huu, msomi ni mwenye elimu ya fani kwa angalau ngazi ya Cheti.
Elimu haipo kwaajili ya watu wote ila walio bora.Hahaha, sawa Professor. Vipi kwenye mtazamo wa unafuu wa kimaisha, elimu inasaidia chochote au kusoma ni kupoteza tu muda?
Amen.!Mkuu, unaposema umri umeenda unamaanisha miaka mingapi?
Hata hivyo, ili kutoka kimaisha wala idadi ya miaka uliyopambana inaweza isiwe na umuhimu, cha muhimu ni muda wako kufika.
Kuna watu wametumia mwaka mmoja kutengeneza mafanikio na koneksheni ambazo wengine wamezipambana kwa zaidi ya miaka 20 hawajazipata.
Siku pekee umri utakuwa umekwenda sana ni ukifa, lakini kama bado uko hai ni bora kuwekeza kuliko kukaa aido kwa kuamini umechelewa.
[emoji16][emoji16][emoji16]Aliesoma anaweza kukuingiza mjini wewe usiesoma akapiga hela.