Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwa jinsi Jamaa wa Mwanza walivyo na wivu na hicho kiwanda Cha bil.40 huko Arusha watalaumu Serikali 🤣🤣

Screenshot_20230907-120854.jpg
Screenshot_20230907-120842.jpg
 
Kwa jinsi Jamaa wa Mwanza walivyo na wivu na hicho kiwanda Cha bil.40 huko Arusha watalaumu Serikali 🤣🤣View attachment 2741972View attachment 2741973
Wewe nawe unahangaikaga bure bila sababu! Hiyo dolla 16 milion ni bilioni kama 40 tu! Zina kuzuzua kweli! Mwanza ina nyanzaga project sio chini ya trilion 3! Na juzi wamewalipia fidia wananchi wa maeneo ya mgodi zaidi ya bilion 52!
 
Mgodi ni kiwanda? Huo mgodi ni Mali ya mzungu na hizo habari Toka 2021 ni stori tuu tunaenda 2024 hamna kitu.

Sawa na zile stori za viwanda vya kusafisha dhahabu ,Kiko wapi Sasa 😁😁

Kula chuma hichoo
 
Huo mgodi 60% ni wazawa acha kudanganya watu wewe! Naomba ukae kwa kutumia tena ni Madong wa Mwanza hapa hapa!
 
mimi ni mzaliwa wa Arusha ila baada ya kuhitimu chuo nimehamia Mwanza, Mwanza na Arusha vinatofautiana kwa level ya mtu kiutafutaji, simshauri sana mtu anaeanza maisha aanze arusha, ila namshauri mtu mwenye fedha za mtaji wa kutosha asije mwanza hapajachangamka sana kwa biashara kubwa, huwezi kusema Mwanza biashara ya magari ipo.. mzunguko wa fedha bado mdogo... ila biashara za kawaida kama za uvuvi samaki unazifuata visiwani na kupeleka mikoani, uuzaji wa nguo hasa misimu ambayo vyuo vimefunguliwa, biashara za simu, zinalipa na hizi ni za kawaida!! ila kwa arusha wao ni wazee wa kutumia noti nyekundu tuu,, biashara zao ni kubwa ni sawa na dsm...
 
Usizunguke saana kuwapaka mafuta,nyoosha maelezo tuu kwamba Mwanza ni Mji wa watu maskini na WA kishamba full stop 😁😁
cc Mikdde sambulugu
 
mimi ni mzaliwa wa Arusha ila baada ya kuhitimu chuo nimehamia Mwanza, Mwanza na Arusha vinatofautiana kwa level ya mtu kiutafutaji, simshauri sana mtu anaeanza maisha aanze arusha, ila namshauri mtu mwenye fedha za mtaji wa kutosha asije mwanza hapajachangamka sana kwa biashara kubwa, huwezi kusema Mwanza biashara ya magari ipo.. mzunguko wa fedha bado mdogo... ila biashara za kawaida kama za uvuvi samaki unazifuata visiwani na kupeleka mikoani, uuzaji wa nguo hasa misimu ambayo vyuo vimefunguliwa, biashara za simu, zinalipa na hizi ni za kawaida!! ila kwa arusha wao ni wazee wa kutumia noti nyekundu tuu,, biashara zao ni kubwa ni sawa na dsm...
Labda uliishia Mwanza ya Ukerewe😀😀😀
 
Shida watu wa Mwanza hata mfanyiwe nini mnakuaga tu na mentality kwamba mnaonewa... we jiulize watu wa arusha tunavousifiaga mji wetu lakini ukienda hatujafanyiwa chochote hatuna soko wala stendi nyie mna kila kitu mna hadi stendi mbili bado mnalalamikaga tu 😂😂 yani arusha tungekua tuna hata nusu ya vitu mlivonavyo nyie tungekua tunawaambia hakuna mji Duniani kama atown ungekuta sasa hivi tuna battle ya atown vs newyork..ni mentality yetu ndio inasababisha muone kama tunapendelewa lakini in reality kwa miundombinu arusha tuko nyuma sana ila hela ipo
 
Akili za maskini na Watoto Yatima.Arusha hakuna Cha stand Wala masoko makubwa kama.Mqanza yet wanaona wametengwa. 😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom