Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,310
- 8,211
Wivu utakuua Mwanza sio level za arusha, Mwanza wala haturingi tupo kimya kama hatupo👇👇👇👇Hapa ndio Kuna nini Cha maana? 🚮🚮🚮
Mwanza ikashindane na Mbeya sio Arusha
Wivu utakuua Mwanza sio level za arusha, Mwanza wala haturingi tupo kimya kama hatupo👇👇👇👇Hapa ndio Kuna nini Cha maana? 🚮🚮🚮
Mwanza ikashindane na Mbeya sio Arusha
Mbeya hakuna mradi wa majengo ya serikali ni wapambanaji tupu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAY_dwkoMnr/?igsh=cWR6cGdudnE1anp6
Mwisho Mwanza Ina kipi Cha kuzidi Mbeya?
Kwa taarifa Yako tuu Kwa Sasa Mbeya (Chunya) ukiacha Madini na Pamba ndio mzalishaji Mkuu wa Tumbaku namba 2 Tanzania baada ya Tabora.
View: https://youtu.be/peb_SKnv_eE?si=h5Rc4ryAfY4WeRGZ

Bonge moja la pichaWivu utakuua Mwanza sio level za arusha, Mwanza wala haturingi tupo kimya kama hatupo👇👇👇👇
View attachment 3110011
Endeleeni kujifariji na vitu vya ajabu ajabu mnavyo post 👇👇Bonge moja la picha
Hii Ina tofauti gani na hii hapa Mbeya 👇👇?
Mwanza ni fireeeeLini arusha itafika level kama hizi za ujenzi hasa private sector, Mwanza🔥🔥🔥🔥
Japo ni mbovu lakini ujumbe wenu huu👇👇👇
View attachment 3109427
Hakuna Mji hapo zaidi ya kusanyiko.la washamba.Mwanza ni fireeee
Hakuna Mji hapo zaidi ya kusanyiko.la washamba.
Arusha itaendelea kuwa Juu ya Mwanza siku zote 👇👇
View: https://x.com/ayubu_madenge/status/1845055096565936209?t=ONGBbjidwlJi2X1DtsSFLQ&s=19View attachment 3122962
View attachment 3122981

Arusha Ina maendeleo kuzidi Mwanza is big slum so kazaneni mnaweza karibiaWatu wanafanya maendeleo na kuongeza miundombinu na kuinua uchumi lakini nyinyi mnakusanya ma land rover chakavu ya Tanzania nzima kwa maonesho.
Sipimi maendeleo kwa idadi ya mabao yatokanayo na kupiga nyetoArusha Ina maendeleo kuzidi Mwanza is big slum so kazaneni mnaweza karibia
🔨🔨🔨👇👇