Hilo ni bonge la stend mnatakiwa muishi nalo tuStupid hatutaki listendi baya kama la Mwanza
Hilo ni bonge la stend mnatakiwa muishi nalo tuStupid hatutaki listendi baya kama la Mwanza
Hongereni sana Mwanza kuendelea kuwakilisha maendeleo 🤣😂🤣👇👇Hilo ni bonge la stend mnatakiwa muishi nalo tu
Hongereni sana Mwanza kuendelea kuwakilisha maendeleo 🤣😂🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C-GXyjftLsB/?igsh=MWszb3czdjNzM2dmcw==
Nitajie mji Tanzania ambao hauna makazi ya dizaini hii tena wengine ndo kwa wazazi wetu tukija huku tunajikuta watoto wa kishuaKwan hizo nyumba wanaish watu au ni viberiti vya kuwashia moto mlimani
Mwanza ndio inaongoza bhanaNitajie mji Tanzania ambao hauna makazi ya dizaini hii tena wengine ndo kwa wazazi wetu tukija huku tunajikuta watoto wa kishua
Miji yote Haina kasoro Mwanza tuu 🤪🤪Nitajie mji Tanzania ambao hauna makazi ya dizaini hii tena wengine ndo kwa wazazi wetu tukija huku tunajikuta watoto wa kishua
Dodoma 👏
Hao mwanza mimi nawajuaga ni maneno tu hawanaga issue