Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hivi ilikuwaje songwe ukawa wa kimataifa kabla ya wa mwanza
 
Embu tuone source sio unapyuka payuka kama tuko kilabuni
 
Embu tuone source sio unapyuka payuka kama tuko kilabuni
Wewe endelea kujifariji Mwanza ni giant kwa maeneo mengi ila kwa vile hutaki kukubali baki na unachoamini! Hapo sio mimi ona mwenyewe! Hapa angalia na idadi ya lita za mafuta zinazotumika Mwanza na Arusha utapata majibu! Kama utataka nikuletee tena idadi ya local flight za ndege kati ya Kilimanjaro na Mwanza uendelee kushangaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…