Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nikajua Iringa.
Sasa na nyie hiki ndio nini[emoji38][emoji38]
JamiiForums1310075288.jpg
 
Iringa kuna mpangilio buana

Ndio maana tunafchaga kwa majirani zetu wasijue mwanza ni jiji manake ni aibu[emoji2958]
Kwa taarifa yako Iringa na Arusha hakuna tofauti yoyote. Na miji hii miwili ukiiunganisha bado haifikii Mwanza
 
Mtwara gani tena

Na hapa tunaongelea arusha

Na nmekuuliza hayo mawe huko ziwani uliyonitumia hua mnakula?
Hapana tangu lini binadamu akala mawe, we wa wapi ww[emoji38][emoji38]
 
Yes bro

Ulaya pekee ilioko tanzania [emoji1241]

Tafta pesa uje utembee mkuu na usifikie ngarenaro [emoji3]
Ulaya hii hii yakina Paris au unazungumzia ulaya ipi kaka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom