The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
- Thread starter
-
- #141
Hehehehee pinga kama ni uongo usiishie kukata tamaa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna kijana anayetumika hapa wote tunaakili timamu Kama wewe unamkubali Mimi simkubali usiforce tufanane Arif!
Aliiba akapereka wapi kama siyo majungu Tu.Tukiwaita nyumbu mnakataa ona Sasa ulivyo zwazwa hivi Kwa akili zako unadhani jiwe hakukwapua mapesa?
Pole sana inaonekana mlilogewa Gambosh ndio maana mmekua vipofu na misukule
Kwa taarifa Yako huyo mzalendo uchwara alikwiba mapesa mengi kufuru jiulize kwanini aligoma kukaguliwa na CAG?
Alilenga kujenga miundo mbinu ambayo ingemfaidisha mwananchi baadaye aliona akibeba yote yatamshinda akaamua kusimama kwenye msingi utakaosababaisha baadaye GDP KUPANDAMagu alishindwa ku balance mambo yake. Siku zote unapokuwa kiongozi usitake kuwa mtawala.
Kuna tofauti kati ya kiongozi na mtawala. Sasa Magu alijiona mtawala kama absolute monarchy fulani kama Kim Jong Un. Aliamua alilotaka bila kujali miongozo mbali mbali iliyopo kama katiba n.k
Alichukia sana mtu yeyote alieenda kinyume nae (aliempinga) au alietaka kumshauri. Na hili limesababisha akaua watu na kutesa wengine. Kesi zakubambikiwa kila siku. Wenye hela wote walitingishwa.
Japo kuna mazuri mengi pia aliyafanya kama kuwa na msimamo na kutekeleza miradi kadhaa bila kusua sua na uchapakazi mtimilifu lakini alishindwa kujua kuwa katika nafasi aliyokuwepo lazima kuwe na watu ambao hawatakubaliana nae. Hivyo alipaswa kujua kuwa lazima akosolewe na kushauriwa.
Pia ni rais ambae alikuwa anapenda maendeleo ya vitu na sio watu. Ndio maana yeye alikuwa kila siku ni miradi na uzinduzi wa miundombinu tu. Mara madaraja mara barabara, reli n.k.
Alishindwa kutambua kuwa 'standard' way ya kupima maendeleo ni kuangalia GDP per capita. Yani uchumi wa mtu mmoja mmoja.
"GDP per capita measures the economic output of a nation per person. It seeks to determine the prosperity of a nation by economic growth per person in that nation."
Ni ajabu sana unakuta serikali inanunua ndege, inajenga miundombinu kibao lakini hali za watu ni tete wengi per capita income ni chini ya dola moja. Hivi mtu ambae hana uhakika wa kula au kuvaa anaweza kwenda kupanda ndege? Ndio maana ATCL inajiendesha kwa loss.
Ilitakiwa focus ingekuwa kwenye per capita income ili watu wakishakuwa na hali nzuri wanafanya manunuzi biashara zinakuwa serikali inapata kodi na mzunguko wa hela unakuwepo. Baada ya hapo serikali inafanya hizo projects na zinakuwa na tija kwa wananchi na serikali kwasababu watu wata afford kuzitumia kwasababu wana hela.
Tatizo mzee aligoma kushauriwa. Sijawahi kufikiri kuwa nchi hii hatuna wataalamu wa uchumu wenye uwezo wa kumshauri rais. Hata sisi ma laymen tunaobumba bumba tunaweza kuona concepts za kiuchumi rahisi kama hizi.
hakuna kijana anayetumika hapa wote tunaakili timamu Kama wewe unamkubali Mimi simkubali usiforce tufanane Arif!
Inawezekana hujui. Ila nakuunga mkono kuna watu wengine kwa misimamo yao tu walikua hawakubali harakati za JPM.Alafu vijana mnatumika sana kwenye siasa...inawezekana unajua au huju.
Mkuu JPM alokua sio mtu wakawaida (Aina ya elimu aliokua nayo na uzoefu kazini (alikua anaijua hii nchi vizuri mno, pia na attitude/uzalendo aliokua nao)), Ni combination moja matata,na Ni ngumu sana kumpata mtu wa aina hii, ukisikia watu wanasema "pengo lake halizibiki" basi hii ndio maana halisi.Watu wenye upeo finyu wa kufikiri ndiyo walimpenda jamaa, alikuwa shallow kwenye mambo mengi sana, roho mbaya, aliwachukia wazungu na matajiri kutokana na ushamba wake na malezi ya kimaskini aliyokulia (ni tabia ya waTZ wengi sana hii, sadists, na ndiyo aliwawakilisha na walimpenda, ndiyo hao leo wanawachukia akina Vunjabei, Diamond, Dewji, January, Rugemalila na watu wote waliofanikiwa, bila sababu za msingi), kwake yeye kukutana na watu na wadau na kuliongezea taifa connections aliona ni anasa, akaona aje akwapue hela za Rich and middle class people, Kwa kuwa kundi hilo ndiyo dogo zaidi TZ and maskini ni wengi, basi hao maskini/wanyonge walifurahia!! Ametuachia balaa la wamachinga ambalo kwa sasa serikali hata haijui idili nao vipi!! ITOSHE TU KUSEMA MIEZI SITA YA KIFO CHAKE HATA MAMA JANETI AMENAWIRI NA KUTAKATA. The MF was a devil
View attachment 1948940
Baada ya kumtembezea Kipondo
View attachment 1948946
Mother sasa amewaka, hadi mwanya umetoka, reflection kwamba alikuwa kwenye mateso makubwa, mateso ambayo waTZ tuliyaonja kwa miaka 6 tu na namba tuliisoma
Hao akina Rugemalira si ndiyo mlituaminisha ni wapigaji wasioweza kuguswa?Watu wenye upeo finyu wa kufikiri ndiyo walimpenda jamaa, alikuwa shallow kwenye mambo mengi sana, roho mbaya, aliwachukia wazungu na matajiri kutokana na ushamba wake na malezi ya kimaskini aliyokulia (ni tabia ya waTZ wengi sana hii, sadists, na ndiyo aliwawakilisha na walimpenda, ndiyo hao leo wanawachukia akina Vunjabei, Diamond, Dewji, January, Rugemalila na watu wote waliofanikiwa, bila sababu za msingi), kwake yeye kukutana na watu na wadau na kuliongezea taifa connections aliona ni anasa, akaona aje akwapue hela za Rich and middle class people, Kwa kuwa kundi hilo ndiyo dogo zaidi TZ and maskini ni wengi, basi hao maskini/wanyonge walifurahia!! Ametuachia balaa la wamachinga ambalo kwa sasa serikali hata haijui idili nao vipi!! ITOSHE TU KUSEMA MIEZI SITA YA KIFO CHAKE HATA MAMA JANETI AMENAWIRI NA KUTAKATA. The MF was a devil
View attachment 1948940
Baada ya kumtembezea Kipondo
View attachment 1948946
Mother sasa amewaka, hadi mwanya umetoka, reflection kwamba alikuwa kwenye mateso makubwa, mateso ambayo waTZ tuliyaonja kwa miaka 6 tu na namba tuliisoma
Alikua Mwizi aliyejificha kwenye kivuli Cha Uzalendo uchwara, Hii ilidhihirika pale alipokuwa waziri wa ujenzi baada ya kuchukua nyumba za Nation Housing maeneo ya upanga na Oysterbay na kuwapa ndugu,marafiki na hawara kwa janja janja za nyani
Yaani kiufupi ni alifoji document Kwa kuzuga kauza kumbe kajiuzia mwenyewe Kwa Bei ya maandazi!
Harafu Sasa alikataa kukaguliwa na CAG prof Assad upotevu wa zaidi ya Tsh trillion 1 zilizopotea kimagumashi na Kwa kutopitishwa na bunge,
Akamuundia zengwe CAG Kwa kumstaafisha chini ya kamati ya roho mbaya wakiongozwa na Kimbunga Jobo wa pale Makao Makuu ya Bunge!
Miradi ya Matrillion kupelekwa kijijini kwao Chato ikiwemo intanational airport ambapo haikuidhinishwa na bunge Wala kukaguliwa na mkaguzi Mkuu wa serikali yaani CAG
Naanza na hayo kwanza nakuja na povu la buku jero kumkandia Nduli Jiwe!
Keep waiting!
TOA USHAHIDI WA WIZI WA MATRILLION UNAOUSEMA?Tukiwaita nyumbu mnakataa ona Sasa ulivyo zwazwa hivi Kwa akili zako unadhani jiwe hakukwapua mapesa?
Pole sana inaonekana mlilogewa Gambosh ndio maana mmekua vipofu na misukule
Kwa taarifa Yako huyo mzalendo uchwara alikwiba mapesa mengi kufuru jiulize kwanini aligoma kukaguliwa na CAG?
wewe ndo punguaniSibishani na punguani
Ningekuwa mimi majizi ya escro yote yangekula shaba,,,A killer! Go to the hell niga.
Naona Jmt katika mgawany wa makundi MATATU narudia tena MATATU. MTANIKUMBUKAHabari zenu wanajukwaa, baada ya kugundua kuwa mtu huyu imeshindikana kabisa kusahaulika ndani ya mioyo ya Watanzania na wasio Watanzania nimeona nianzishe uzi ambao utagusa pande zote yani wale wanaodhani alikuwa Rais bora na wale wanaodhani hakuwa Rais bora.
Ikumbukwe kwamba tangu amefariki mtu huyu imepita takribani miezi sita na siku kadhaa mpaka hapa ninapoandika huu uzi, sasa naomba wale Magufulians waseme kwanini wanadhani huyu alikuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania na watoe sababu za kusema hivyo pia wale wanaodhani hakuwa Rais bora watoe sababu zao.
Ndugu zangu nimelazimika kuanzisha huu uzi kutokana na kile ninachokiona kwamba jina la Magufuli sasa limekuwa kama dini mana unapomponda tu kama pembeni yako kuna mfuasi wake basi hawezi kukuacha salama.
Hii imepelekea kutokea mikanganyiko na sintofahamu kwenye majukwaa mbalimbali inafikia kipindi unakuta mada haihusiani na Magufuli lakini uzi unaharibika kwa sababu ya u-Magufuli vs u-Anti Magufuli.
Sasa ndugu zangu tusiendelee kuharibu nyuzi za watu, kama una dukuduku lako kuhusiana na kiongozi huyu mashuhuri aliyewahi kuongoza Tanzania basi weka hapa dukuduku lako au maoni yako juu ya mwamba huyu yaweke hapa jamii ifahamu ni kwa namna gani kiongozi huyu alikuwa mzuri au mbaya.
Nianze na mimi binafsi msimamo wangu juu ya JPM, ni kwamba namuona kama Icon na benchmark ya viongozi waliopo na watakaokuja kwasababu zifuatazo[emoji116][emoji116]
1. Muanzilishi wa Tanzania mpya. JPM alikuwa kiongozi mwenye uthubutu wa kuwakaripia viongozi wote walio chini yake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba iwe ni viongozi wa kuteuliwa na yeye mwenyewe au wa kuchaguliwa basi viongozi walitii, ilikuwa ni utaratibu kwa viongozi wa Tanzania waliochini ya Rais kikatiba kujiamulia mambo watakavyo wao ikibidi hata kukaidi maagizo yanayotolewa na Rais, hii ilipelekea huko nyuma nchi yetu kupoteza muelekeo lakini chini ya JPM maagizo yakawa yanafuatwa na kasi ya utendaji ikawa kubwa kuwahi kutokea Tanzania.
2. Kiongozi mkweli daima. Mtu huyu alikuwa ni moja kati ya binadamu wachache wakweli, alikuwa mwanasiasa pekee asiyejuwa kuongopa, ilifika mahali akajiingiza kwenye mgogoro na wanasiasa wenzake ndani ya CCM kwakuwa wengi wao hawakuzoea ukweli, JPM akisema hili hapana basi juwa kwamba halitatokea au akisema hili linawezekana basi juwa hivyo, hakuwa mtu wa kupepesa macho, alikuwa na uwezo wa kuongea ukweli hadharani pasipo kuficha ficha kitu chochote, hii ikapelekea viongozi waliokuwa wanaendekeza siasa majitaka kumuogopa kwani mzee yule hakuwa akijali kama unatokea CCM au upinzani.
3. Msimamo mkali. Chini ya JPM tuliona Tanzania yenye msimamo na isiyoyumbishwa na mtu yeyote au taifa lolote lile liwe na uchumi mkubwa au mdogo, hii ikapelekea Tanzania kufahamika zaidi kimataifa na duniani kote.
4. Kiongozi mwenye maono. Hayati JPM alikuwa ni kiongozi mwenye maono, hili liko wazi kwani maono yake hasa kwenye nyanja za kiuchumi ndio zikapelekea nchi yetu kuingia uchumi wa kati kabla ya muda uliokusudiwa, hii ilitokana na maono na jitihada zake kuhakikisha nchi yetu inajitegemea kwa kuanzisha miradi iliyoonekana haiwezekani lakini chini ya uongozi wake ikawezekana, pia maono yake yalijidhihirisha hata kwenye ugonjwa ulioikumba dunia kwa sasa ugonjwa wa Corona, nchi nyingi duniani zimeanza kutumia theories alizozitoa Hayati JPM.
5. Kiongozi mwenye ushawishi. Hayati JPM alikuwa na karama ya ushawishi mbele ya jamii, alikuwa na uwezo wa kusema jambo fulani na jamii nzima ikakubaliana naye kwa asilimia kubwa, kiukweli kabisa hata leo hii JPM akiamka na akasema watanzania wachanje basi believe me dawa za kuchanja hazitatosha, hii ni kutokana na imani kubwa aliyojiwekea mbele ya jamii kwakuwa watanzania waliamini kwamba JPM ana upendo wa dhati kwa wananchi wake na hawezi kuwarubuni kwa namna yoyote ile.
6. Mtu wa Mungu. Licha ya mapungufu yake kibinaadamu lakini ni ukweli usiopingika kwamba JPM alikuwa ni mtu wa Mungu, siku zote za uongozi wake hakuacha kumtegemea Mungu na hili alilifanya hadharani kwa kumtaja Mungu popote alipoenda na watu wake wakaribu wanasema mzee yule ulikuwa ni utaratibu wake kumtanguliza Mungu mbele.
7. Kipenzi cha wengi. Ukiacha mitandao ambao kuna wachache wanaomsema vibaya Magufuli ni dhahiri shairi kwamba hayati alipendwa na wengi, hii ilijidhihirisha pale alipofariki, umati uliojitokeza haukuwahi kutokea na sidhani kama utatokea kwa siku za karibuni, sio kwamba walioenda kumuaga walienda kukejeli bali waliguswa haswa, vilio kila pembe ya waagaji na kila sehemu mwili ulipoenda, hii inathibitisha ni jinsi gani watanzania walimpenda kiongozi wao.
Yako mengi ya kumuelezea Magufuli lakini itoshe kwa haya niliyoyaandika kumuelezea, mengine niwaachie ninyi wenzangu karibuni.
Hii naikubali hadi waganda na wakenya wakaaogoba kwani kwenye NGOs tulianza kujiamini nakuanza kuchukua nafasi lubwa wakati zamani zilikuwa chini ya wakenya na waganda kwa kisingizio cha kujua kizungu06: Aliamsha hamasa ya watanzania ya kujiamini na kujiona kwamba wanaweza.
Hawana pointsTafadhali Anti-Magu mnaposema Hayati hakuwa Rais mzuri mtoe sababu ambazo zitawashawishi Magufulians kwamba kweli mpendwa wao alikuwa sio kiongozi bora, kwamba waone nyie msiomuelewa mna sababu za kutomuelewa, yani wekeni hapa sababu za kueleweka na sio kutoa sababu zisizo na mashiko na ushahidi wowote.
Sisi Magufulians tunaamini kwamba Hayati alikuwa moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania na sababu za kusema hivyo tunazo na ziko wazi kabisa na tunaziongea kila siku, sasa nyie mnaosema hakuwa kiongozi mzuri mtuambie ni kwa vipi hakuwa kiongozi mzuri, usiishie tu kutukana haitasaidia na itatufanya tuamini kwamba mnaomchukia Magu ni chuki binafsi zaidi kuliko uhalisia na ndiyo maana mpo wachache tu na asilimia kubwa mnapatikana Jamii Forums na twitter.
bwana mdogo kunywa maji upunguze wenge inaonekana wewe Bado ni ngumbalu,zile fedha alizosema CAG Asad hazionekani na jiwe akakataa jamaa kuendelea kufanya uchunguzi Kwa kumuundia zengwe la kumstaafisha wakiongozwa na Kimbunga Jobo zilitumikaje?WEWE MPUMBAVU SANA,,UNADHANI TANZANIA ITAIBIWA TRILLION HARAFU IMF NA WORLD BANKA WANAOKAGUA BANK KUU WASIKUMEZE NAKUKUTANGANZA DUNIA NZIMA?
PILI NIPE UTHIBITISHO WA MIRADI YA MATRILLION ILIYOPELEKWA WILAYANI CHATO AMBAYO WILAYA ingine wahajawai kuwanazo?
wewe acha wenge nitoe ushahidi Mimi nimekua CAGTOA USHAHIDI WA WIZI WA MATRILLION UNAOUSEMA?
Aliyetangaza Tanzania ipo uchumi wa kati ni naniwewe acha wenge nitoe ushahidi Mimi nimekua CAG
Simlimchimba mikwara
Prof Assad asitoe ripoti ya upotevu wa matrillion ya Pesa Kupotea kimagumashi?
Mlimziba mdomo Kwa kumstaafisha Kwa lazima Ili asigundue janja yenu ya nyani
Miradi mingi iliyoenda Chato haikupitishwa na bunge
Ila Kwa ujanja ujanja wa jiwe,
Haya mlivyo zero brain mkajitangazia uchumi umepaaa
Tupo uchumi wa kati tutembee vifua mbereeee
Leo Kiko wapi?
Mlizoea propaganda uchwara kuliko uhalisia wakati hazina hamna kitu matokeo yake
Leo inabidi tukamuliwe Kodi na tozo za ajabu ajabu kuziba pengo kisa mtu mmoja Aliyekua anapenda sifa na propaganda za kijinga kutoka Kwa nyumbu Kama nyie
Madame President Samia
Aliingia hazina akakuta empty
Ikampasa auseme ukweli tu kwamba hali Mbaya kiuchumi
Ila Nduli alikua anajua kucheza na akili za nyumbu Kama nyie
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
jiwe baada ya kupika data na kuwaingiza mkenge IMFAliyetangaza Tanzania ipo uchumi wa kati ni nani