Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

Nimecheka sana waTanzania kucompare music industry ya kwao na hapa na saizo hakuna nchi imewapatia fedha na support kama Kenya. Hizo video there's a time they were all being directed by Kenyans. Mnafaa kushukuru badala ya kupiga kifua
Hapo umesema neno... Even acting, ukiangalia Tamthilia ya kutoka Kenya itakupa hamu ya kuangalia matukio yanayofuata ila ya Tanzania ubunifu ZERO ila wanajua kukaa nusu uchi utafaidi mapaja....
Muziki wa biashara wanaweza but muziki wa kipaji tena unakung'utwa LIVE BILA CHENGA upo KENYA...
 
Hivi Unafahamu kuwa filamu za kibongo huwa zinaoneshwa kwenye tv za Kenya?
Hivi Unafahamu kuwa media za Kenya Haziwezi maliza siku bila kupiga nyimbo za kibongo? na hii imepelekea wakenya wengi kuanzisha kampeni ya pkaykemusic ambayo haija saidia chochote maana muziki wa bongo ni kama maji usipo yaoga utayafulia tu.
 
Kiswahili chenyewe kinawapa tabu
Nowadays Watanzania ndo Kiswahili kinawapa taabu tena sana mfano wewe mwenyewe 😂😂😂

Kwani twasema "tabu" au "taabu"??? na zile

mnaandika na kutamka " R" badala ya "L" ... eti unamkuta mpumbavu mmoja anajiandikia "alafu" badala ya "halafu".... Hichi kizazi cha nguo za kubana kama tight za dada zao hakuna kitu kichwani...
 
Anataka nifa
Kila msanii wa Tanzania ni superstar Kenya, from gospel to Bongo.

Nataka kuangalia frequency ya media za Kenya kuandika habari za Bongo artists na Bongo media zinaandika Mara ngapi.
 
Back
Top Bottom