Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Huyu @CCNP lazima atafungua ID nyingine,jf sio sehemu ya mchezo mchezo,miaka ya nyuma alikuwepo member anajiita Mpiga msuli alisoma shule maalum Tabora boy alitukana sana watu kua yuko vizuri,siku akaingia anga za mtu zikaletwa mpaka picha za kwao kibaha,hawajawahi onekana humu toka miaka ile,jf naigopa kama ukimwi

injinia kapoteza miwani kuweni mwenye nayo karibu amuazime
Haya fanya kunisambazia huo muamala basiUsiniroge shoga mimi na wewe jamani
Niko nae hapa anajipanga
Anasema mpinzani wake ajipange mana anakuja na nondo za hatari
Wapenzi na mashabiki kindakindaki wa injinia wakae mkao wakula





Sana aiseee. Nimejikuta nafall in love na Humble African.Ndugu yetu hela tunampenda sana
Ulikuwa wapi?jana hela zinanukia tu humu sikuoni
Ndo nimeona leo. Nimekosa mgap hivi hivi yaniUlikuwa wapi?jana hela zinanukia tu humu sikuoni


TobaaaSana aiseee. Nimejikuta nafall in love na Humble African.
Unataka kuchafua hali ya hewa sasa eti?Sana aiseee. Nimejikuta nafall in love na Humble African.
Kwanini mkuu?Unataka kuchafua hali ya hewa sasa eti?
Achana na kitu kinaitwa hela mkweTobaaa
Pesa hana demu mzuri pia hanaKila jambo na wakati wake,wakati wa shule au imediately after school engineer angejisifu hivi tungemuona mjanja,sasa elimu yake imemsaidia nini kutatua changamoto alizonazo?