Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
so within three weeks imetoka 23 imefika 21 huoni maajabu wewe😂😂😂😂 tafuta mtu akufundishe economics uone impact yakeSi wewe ulitabiri itashuka chini ya 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
23 ilishoot mara mbili tu, na ujue ilikuwa 20 ndio ikapanda hadi hko 23..sasa km kujua itashuka irudi 20 kwanza halafu ndio muongee..
Lkn kw sasa itacheza hapo hapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss we unavyoona kuna mlima hapo? Mbn me siuoni huo mlima unaosema, hapo nyuma ya hayo majengo kuna ka hill tuHuna akili.
The most glorius Mountain in Africa, Mt. Kenya as seen from the Green City in the Sun. East Africa Capital. Nairobi
View attachment 1425616View attachment 1425617View attachment 1425623View attachment 1425625View attachment 1425626
Ila nchi yenu kame duuhhDevolution in Kenya is doing great.
The roads in Mandera Kenya are better than roads in Dar Es Salaam Tanzania
View attachment 1425658View attachment 1425659View attachment 1425660View attachment 1425661
hehehe yani hawana hamu na hii thread😂😂Ila nchi yenu kame duuhh
[emoji3][emoji3][emoji3] wanakuja wanachungulia hao wanakimbiahehehe yani hawana hamu na hii thread[emoji23][emoji23]
Mlima wenu, muonekano ni wetu Kenya. Bibi wako lakini watoto wa jirani, mwenzako anakunyanyulia wa kwakoSasa kama ni the most glorius mountain in Africa kama ulivyo andika hapa,
Kwa nini hamtumii nguvu nyingi kuutangaza kama mnavyo angaika na mlima wa wenyewe?
Nijibu kama mwenye akili, ujinga weka kando. View attachment 1425650
Qatar ni Kame kutushindaIla nchi yenu kame duuhh
Imeshindikana kuweka ujinga kando!Mlima wenu, muonekano ni wetu Kenya. Bibi wako lakini watoto wa jirani, mwenzako anakunyanyulia wa kwako
Ss mm nimeongea habari za Qatar hapaQatar ni Kame kutushinda
Bado Tz ni baba lao kwny hyo sekta, unasemaje[emoji3][emoji3]Mlima wenu, muonekano ni wetu Kenya. Bibi wako lakini watoto wa jirani, mwenzako anakunyanyulia wa kwako