Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uyole and turkana are two different things,yaani mbingu na ardhi,angalia mandhari ya uyole na angalia mandhari ya turkana,turkana unaweza kudhani ni hell na sidhani kama kuna mtu amaweza kuishi..
Ilhali Wana barabara Bora kuliko za Dark es sluum.
Hii naona ni data kutoka kibera,siioni Burundi,somalia,malawi....watu wa mathare wanapika data hadi zinaungua yaani burundi ni tajiri kuliko msumbiji na Ethiopia...duh that's funny
Nchi za watu wanaotoroka kwao Kama Ethiopia, Tanzania(wanakaimbia kuingoa Kenya kuomna omba na pia kukimbilia South Africa). Malawi na Burundi wako poa kuliko Tz bila shaka.
Somalia ni Failed State na data yake ni nhumu kupata Ila wako sawa kuliko Tz kiuchumi.
 
We inaonekana hata shule hukuenda! am out
 
Unajua maana ya kutoroka au ni ile tabia yako ya kuandika ujinga ndio unaiendeleza humu kama kawaida yako.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…