Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo 6000 unayoisema source yake ni jamii forums na 2011 and it is wrong, ebu nambie trunk roads ziko vipi, nikusaidie tu kwa regional roads until now more than 50%barabara zinazounganisha mikoa ni paved, hii sio Tz ya 90's
Hehehe huyu magufuli miaka minne kawatoa uharo na jasho la makalio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hehehe huyu magufuli miaka minne kawatoa uharo na jasho la makalio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
And soon tutakamilisha barabara za mikoa ambazo ni 21105km tutaanza zinazounganisha districts, na sera iliyopo saivi Uncle hataki hata barabara za mitaa miji midogo kutengenezwa kwa moramu ni lami tu, washaanza kuunganisha district za kigoma region ile tenda ya majuzi kati
 
Trunk roads are main roads which include both tarmac and non-tarmac roads.
Hiyo 6000 unayoisema source yake ni jamii forums na 2011 and it is wrong, ebu nambie trunk roads ziko vipi, nikusaidie tu kwa regional roads until now more than 50%barabara zinazounganisha mikoa ni paved, hii sio Tz ya 90's

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kuchapa screenshot. Naona hapo juu umejaribu kufunika hiyo 2012/2013. Try another tactics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thibktisha kwa kuleta official source hapa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ bro ukiniletea official source kenya ina 20000km paved mm nafunga acc jamii forum mark my words
 
Wataanza kuwasumbua Wanaigeria ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna kipindi walikuja hapa wakaanza kuongea pumba ohh safaricom inamilikiwa na kenya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ kumbe gvt of kenya inamiliki 35% zingine zote investors alaf ukiwaambia uchumi wao umeshikwa na investors wanakasirika
 
Serikali ndio inapata mgao mkubwa jomba, unafikiria safaricom alilipa kodi kiasi gani 2018 na aliingiza faida kiasi gani..

We lazima ukapimwe akili nakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibktisha kwa kuleta official source hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro ukiniletea official source kenya ina 20000km paved mm nafunga acc jamii forum mark my words
Huwa nafurahi sn nkiona mkenya anahaha km mbwa jike linalosubiri kupandwa hahahaha, yn Kenya izidi Tz kwny suala la tarmac roads dunia itakuwa imekwisha labda Tz ya 90s co hii iliyoamua kuwekeza kwny roads, na nawaambia wasubiri report mpya watalia humu ndani cz cc lengo letu co kenya bali ni SA, EGYPT, MOROCCO nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kuchapa screenshot. Naona hapo juu umejaribu kufunika hiyo 2012/2013. Try another tactics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww tulia report mpya itoke, km ilivyotoka ya millionaires mkabisha hapa lkn baada ya D-N-A theory ku operate now mshakubali, ss subirini kwny roads, afya, majengo, electricity, railways (hapa kabla hata ya new report tushamalizana) zen tutamalizia GDP, nawaambia hamtabaki hapa jf mtaona mnanyanyaswa, pia ata cc tutaona tunajichosha tu cz hatutakuwa level moja, na baada ya hapo tutaingia kwny mchezo wenu wa kitumwa mnaoutegemea nakwambia huko napo hatutawaacha salama kwakuwa tutakuwa tusharekebisha mambo ya muhimu so hvyo vitu vdg tutamalizia, watz hawajawahi kushindwa kitu wakiamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ