Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila magu ni mjanja sana yani kwenye mipaka ya Tanzania anaendeleza kujenga hospital za kimataifa ili awavutie majirani waje kutibiwa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇
Musoma new modern hospital is near to isbania, migori and kisumu

Hakuna slum nairobi yenye nyumba kama hizo,h uwezi kudanganya jombaa kwenye slum zenu zile kuna vibanda mabati full suit..
Hakuna nyumba kwenye slum zenu,ni vibanda vya mabati tu mwanzo mwisho
Sikatai ila nataka unionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi kama sio slum.

Nionyeshe tu mtaa wowote Nairobi yenye nyumba kama hizo kama sio slum
 
Unatumia maneno nyingi kutoa povu. You avoided one important question I asked you: cab you show us ATCL's expenses for the same period?
 
Unatumia maneno nyingi kutoa povu. You avoided one important question I asked you: cab you show us ATCL's expenses for the same period?
So umepanic 😀😀😀😀😀
Sikatai ila nataka unionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi kama sio slum.
View attachment 1369898
Nionyeshe tu mtaa wowote Nairobi yenye nyumba kama hizo kama sio slum
Define slum hebu tuanzie hapo😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…