Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Then debunk me me with facts. Hako kakitu kenu ni kanyonge Sana kakawekwa mzigo ya SGR Kenya reli inajikunja na kuingia kokotoni.
Usifananishe SGR yetu na vitu vya kipumbavu, nimekusikia ukiimba double stack sana kwamba yetu haina bila kuwa na Habari kwamba tumeshaweka order na double stack container wagons zipo kwenye wish list yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…