Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As if they have a freepass to trespass Holili!
 
Linapokuja suala la maji, umeme, afya, barabara (miundombinu) Tanzania hatuna mshindani ukanda huu wote

Ndio maana wakenya wengi wanafuata matibabu bora kwenye hospital za Tanzania,
Pia kwenye barabara wakenya wengi waliofanikiwa kutembelea Tanzania wamekiri wazi ubora wa barabara zetu achana na hawa wenye akili fupi,
Kwenye umeme pia REA wanafanya kazi nzuri sana,
Kwenye maji pia hakika tumejitahidi sana mfano kuvuta maji kutoka ziwa Victoria wakati kuna nchi fulani imeshindikana kuvuta maji kutoka ziwa Victoria bila kusahau miradi mingine mikubwa ya maji inayoendelea kutekelezwa.
 
Hebu soma haya maelezo kwamba 2016 ilikua 56 tz 32 so what u think in ur head 2018 2019 Kenya inaongezekana Tanzania iko pale pale 🀣🀣🀣
 
We should be in top 100 ......140 is far much behind
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo yamefanyika miaka 2 wewe huwezi
kuamini πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ na hapa ukumbuke tz ni kubwa mara mbili ya kenya

 
Look at this zombie. In 2018 Kenya was already at 30m+ tones. Right now Kenya is going more than 34m tones while Dar is still struggling at 10m tones.
Kenya handles 28 tons wacha kutufunga kamba hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
So 30m tons usiseme 34 sawa na sasa hvi mumeanza kupata ushindani mkubwa kutoka dar na tanga port🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Now dar ina handle 20m tons
Tanga port from 700,000 to 3.5 tons within a year
Mtwara port now is at 1.2m tons na kuna huge expansion going

Subirini dawa inachemka 😁😁😁😁
 
Kuna mambo yamefanyika miaka 2 wewe huwezi
kuamini [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] na hapa ukumbuke tz ni kubwa mara mbili ya kenya

Wakenya wana data za Tz ya zamani mm nakwambia tusubiri report mpya, hawatoamini kitakachowakuta.

#SISI NDIO BABA LAO EA.
 
Be serious my friend. Dar only handles 10m t while Tanga is doing below 500,000 t.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…