babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,428
- 36,042
Kuna tofauti kubwa ya kuijua na kutembelea maeneo hayo,My friend I know Nairobi inside out. Maybe huyo jamaa wako hata hajaikanyaga Nairobi. Anyway, where are the pictures?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua makoko wewe!!??...hiyo ni nairobi!!So siku hizi makoko Nigeria imekuwa Nairobi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi naipenda kilimani nadhan zaidi ya westyAti wanataka kufananisha Kilimani na takataka kama kijiko na nyama (kijitonyama)
Here is Kilimani.
View attachment 1335368
Unaijua makoko wewe!!??...hiyo ni nairobi!!
So sad mtu gani anaweza kuishi kwenye hizo vibanda...hiyo ni umasikini ya ajabu sana!
That is what your spannerboy ichoboy has said. Look at his response from previous pages. He said Atcl has been in business for just three years so it can't release its statement at this "early" stageHow sure are you that there is no financial statement of ATCL since it has resume to operate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kubwa ya kuijua na kutembelea maeneo hayo,
sasa wewe unaijua tu na wala sio kutembelea,
Uzuri tunawafahamu kwa kupenda kupingana na ukweli,
Barabara nyingi za Nairobi ni mbovu mnoo.
They can't believe kama hiyo ni kibera,wanasingizia eti ni makoko wanafiki makoko hatujui..Nadhani Makoko Slum ya Lagos huijui vizuri....
That's your Kibera bru
Sent using Jamii Forums mobile app
There has been argument for a long time in Nairobi that which is a better district between Upper hill, Westlands, Kilimani, Kileleshwa na Parklands. I know most of you only know Upper hill, Westlands and Kilimani. Ebu wewe niambie, which is better among the three?
Pingana na ukweli ukimaliza nenda kwenye hiyo tweet ukabishane nae then umwambie akupe na picha.A fool will forever remain a fool. Huwzijua mahali bila kutembelea. Why can't that your post the pics?
Sent using Jamii Forums mobile app
They can't believe kama hiyo ni kibera,wanasingizia eti ni makoko wanafiki makoko hatujui..
Most what!!??Modern and the most beautiful building in a AfricaView attachment 1334721
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasoro kama hii.Daresalaam nayo kizungumkuti tu......hakuna tu zone inavutia 100% lazma ukutane na vituko pembeni...lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi ukweli hapo? Ukweli without pictures?Pingana na ukweli ukimaliza nenda kwenye hiyo tweet ukabishane nae then umwambie akupe na picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
TBT JNIA over years!
Second Terminal
Third terminal
Jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati