Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toka mwaka huu umeingia hii ndio povu kubwa kuliko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I believe a word remit has to do with Remittance! If so then why why bragging while relying foreign economies through shipping ur manpower to get ur economy going? U sound stupid my friend!
 
Dar yenyewe hata sewer line haina watu wanachimba vyoo jijini maji ndio itakuwa nayo
Tena dar habari ya sewer line inajengwa usiku na mchana na hio ndio project kwa sasa wako nayo serious; leo hii nashangaa munashindana na dar wakat kupambana na maji Nairobi hamuwezi 🤣🤣
 
Tena dar habari ya sewer line inajengwa usiku na mchana na hio ndio project kwa sasa wako nayo serious; leo hii nashangaa munashindana na dar wakat kupambana na maji Nairobi hamuwezi 🤣🤣
2020 ndio mnafikiria kujenga vita vya msingi kama sewer line wakati Nairobi hii ni kitu imekuwa miaka yote!! And you are busy comparing that fishing village (oops sorry, New York of Africa) with Nairobi! Lanes please
 
Uhahahha sio tunajenga tulianza kujengwa muda alaf kuna kitu usisahau dar imeanza kujengeka within 12 yrs yani usitoe povu ni Bora ulitumie kufua nguo zako za ndan

Yani kitu hua nachoka nayo kuskia mji mkuu wa Kenya hauna maji🤣🤣🤣🤣🤣 Miaka yote mlikua wapi
 
What we want is for those people in slums to stay in houses with dignity, whether they pay or for free, stop your blaah, blaah. I am sure those houses if Kibera and Korogojo, even pigs and Chickens in Tanzania are kept in better shelters than those in Kibera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Better shelters indeed. Do Tanzanians have standards at all?
 
Dar is older than Nairobi. Sasa sijui ilianza kujengwa 12 years ago kivipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…