Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiskia neno fastest growing city in the world ujue wazungu hilo wameliona sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani kushindana na dar nia sawa na kufukuza upepo
 
Ukiskia neno fastest growing city in the world ujue wazungu hilo wameliona sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani kushindana na dar nia sawa na kufukuza upepo
Underline the word "FASTEST GROWING CITY". What does it mean? Insmaanisha kuwa Mnazaana kama paka. Wangekuwa wanaongelea maendeleo wangesema "FASTEST DEVELOPING CITY". There is a difference between "FASTEST GROWING CITY" and "FASTEST DEVELOPING CITY".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuoanne kesho dozi itaendelea mpaka somo ulielewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe hadi Leo umeamua kulala saa sita na kila siku huwa unakesha hapa? Kweli "Teargass" is still effective[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. I hope the tears are not rolling out due to the effects of "Teargass"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unasumbuka na huyo mdanganyika? He's one of the very retarded Tanzanians here. He doesn't reason and always forces things to go his way. Achana naye
 
Dah kumbe majirani zetu wanamiliki ndege 3 na 17 ni mkopo na bado wanapiga kelele zaoHawana hata aibu ni kheri wanyamaze kujiepusha na hiyo aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hawa watu ukiskia anaongea unaeza Kenya iko Europe kumbe uozo mtupu alaf kitu unaeza shangaa wanaeza tumia nguvu nyingi kusifia kitu wasionachoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hehehe hadi Leo umeamua kulala saa sita na kila siku huwa unakesha hapa? Kweli "Teargass" is still effective[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. I hope the tears are not rolling out due to the effects of "Teargass"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm we hunibabaishi u know y kwasababu sijaanza kukujua leo wala janaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani ulifkia mpaka hatua ukanidanganya mm kisumu sasa hvi hakuna baiskeli taxi nikakuletea ushahidi murua kabisa ukaanza kunichukia I remb
 
Uhehehhe tunaanza au tunakutoeni jasho la puaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani jiji limeanza kujengwa within 12 yrs lakini hamuna hamu ndani mumebakia kutuletea flyover za miaka 100 iliopita eti flyover πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dunia unakwenda mbele leo 21st century nyinyi munarudi nyuma miaka 100 hakuna kitu munacho cha kisasa kwanzia sgr mpaka flyover 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…