Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkiduwaa tu hivyo mtabaki nyuma tu.....Kenyans work smart despite the shitty government. Hatungojei uzinduzi na kutegemea serikali 100 percent.
Saccos pia are doing wonders in Kenyan lives.
Work smart kwenye nini 😂😂😂
Work smart ya kutegemea chakula cha misaada.
 
Hivi hujui hata mimi Naweza nikatengeneza website nikaandika ujinga kama huo alafu nikapublish then ukiingia google Search unaikuta 😂😂😂
Tanzanians really amaze me. So you don't even know how google functions yet you mention with so much confidence! Google gives first priority to credible information. You can't just wake up one morning and write some misleading information just because you have a website and expect to get good ranking on Google. It doesn't work that way bongolala. Useful and credible information comes first, coupled with good keyword use and placement.
 
Unafahamu SEO?
 
Hola county? 😂
Mwatate County? 😂
Pokot county? 😂
Hizi counties zinapatikana wapi?
 
Inakuhusu
 
Unafahamu SEO?
I can tell you so much about SEO than you already know. SEO goes hand in hand with quality article writing. You can't just write a poor or misleading article, optimize your search engine and expect to gain anything. Good ranking comes with good quality, not jusKeyword placement
 
Kwani hiyo 5.7% umepigia ya miaka mingapi?
Sasa hili ni swali gani tena?, nimeeleza kila kitu hapo.
1) 2015 .... $63B
Tafuta 5.6% ya 63. Ukiijumlisha na 63B, utapata GDP ya 2016.

Kwa haraka haraka, 5.6% ya 63 ni 3.8B, kwahiyo 63,+ 3.8 = 66.8B.

Kwahiyo 2016 GDP = $66.8B

Ukiendelea hivyo hadi 2018, GDP ya Kenya haizidi $75B
 
Sasa kama Unafahamu SEO ni nini, nini kimekufanya uandike pumba hapo juu,
Hii Umeingia google ukagoogle haraka haraka 😂😂😂 ndio maana ulicho andika hapo juu ni pumba tofauti na hapa.
 
Mimi nimeanzia na GDP ya mwaka jana nkajumlshia na 5.7% ndo nkapat $92bn
 
That is kakamega town a small town but abit well planned so tanzanians stop your lowly rantings
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi nimeanzia na GDP ya mwaka jana nkajumlshia na 5.7% ndo nkapat $92bn
Ulianzia na "wrong figure" ndio sababu umepata "wrong answer".

Wakenya wote wanakubali kwamba mwaka 2015 GDP yao ilikua ni $63B, pia wanakubali kwamba toka mwaka 2015 hadi 2018 wastani wa kukua kwa uchumi wao ni 5.6%, jambo la kushangaza wanasema GDP yao kwa mwaka 2018 ni $90B. IMF imesema sana kwamba wanapika taarifa za uchumi wao ili kuvutia wawekezaji na kupata mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…