Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nine Sisters apartments are found along Magadi road near the Southern by-pass, which is not in Karen. You can even see the name Karen is in brackets. Karen End is not Karen. If you know Nairobi very well, like most of you here claim they do, southern bypass doesn't pass through Karen.

About the second picture, Muthaiga Heights is just a name given to that apartment but it's not in Muthaiga. The building is in Parklands along Parklands 6th Avenue and I know where it is very well. Hata wewe unaona vizuri hiyo picha uliyoleta hapo pembeni imeandikwa parklands. Parklands and Muthaiga are two different places

Then lastly, hakuna mahali Muthaiga unaweza pata nyumba ya Ksh15,000,000. Hata utembee hadi wapi within Muthaiga huwezi pata. Hiyo ni price ya nyumba Parklands or Kilimani and such places, not Muthaiga.
 
100%
 
Nasikia investor ni kutoka Malaysia, anataka kuweka reli kuzunguka porini na maboti ya kitalii ziwa Victoria! Huu mradi usije kwamishwa na wazembe wachache..
ndiyo ni hatari.....mkuu na jamaa tiyari yupo location kwenye vikao vya kiserikali.....naamini kama siyo mbabaishaji mambo yataenda ila kama mbabsishaji kaja kushow off mambo hayatokwenda....

ila wanataka mpaka ikifika december kazi ianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…