Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Siku ikijengwa terminal yenye kuchukua watu milion 5 hivi + cargo kwenye airport ya Arusha basi Nairobi haitakua na chake. Halafu sijui kwa nini Magu hajaona hili. Unajua Tukiweka Airport Arusha itakayopambana na Nairobi + SGR ya Tanga - A town battle inakua imeisha!Lol......we are talking about real cities......arusha is just kericho
Usijali, wakulima washatengewa fungu now wapo kwenye mstari kwenda kupokea vyaoKamlipeni mkulima kwanza
Siku ikijengwa terminal yenye kuchukua watu milion 5 hivi + cargo kwenye airport ya Arusha basi Nairobi haitakua na chake. Halafu sijui kwa nini Magu hajaona hili. Unajua Tukiweka Airport Arusha itakayopambana na Nairobi + SGR ya Tanga - A town battle inakua imeisha!
Imeshinda kuishi zile uswazi hovels za dar....is a throw...
Ninyi mnapendwa kusifiwa hamuwez kusifia watu wa nchi zingine bure kabisaAtleast Africans are appreciating us
Bora watu wanaishi uswazi kuna maji kuna vyoo kuna hospital kuna mashule kuna nyumba zenye hadhi ya kuitwa nyumba, so what do you have inside kibera my friend! Flying toilets?
Kwani wewe huoni zikifanana? Your best estates can't match the best estates in Nairobi hata roboHivi wewe ndio ulisema buruburu ni league moja na masaki? [emoji23] [emoji23]
Dar kuna nini ya kusifia? Dream houses?Ninyi mnapendwa kusifiwa hamuwez kusifia watu wa nchi zingine bure kabisa
Siijui lakn ni level ya bunju tu haifikii mikocheni or ununio or makongo not even mbezi beach ndo uje ufananishe na oysterbay or masaki, ar you sick!Unaijua muthaiga au unaiskia jomba[emoji1787][emoji1787]
Kijana, you can't win in everything. Hata wewe hapo unajua vizuri sana hakuna estate estate Dar nzima ya kulinganisha na Muthaiga ama Karen. Kuna picha ya masaki ulileta hata and I could see so many apartments. Huwezi pata apartments Karen, Runda or MuthaigaNilidhan ni Beverly hills of Africa kumbe Ni ya Nairobi lol[emoji23] [emoji23]
Affluent neighbourhoods of dar are masaki and oysterbay as well ,ziko sawa tu zaidi ya sana
Hahaha......maji gani.Stone age life hapana.....cities like Mogadishu Mogadishu daresalaam ougadougou niamey haven't embraced modern housing culture
Endelea kuvuta bangiKuna maeneo mengi Arusha yameizi hii Muthaiga
What is an estate without water to wash one's ass!Kijana, you can't win in everything. Hata wewe hapo unajua vizuri sana hakuna estate estate Dar nzima ya kulinganisha na Muthaiga ama Karen. Kuna picha ya masaki ulileta hata and I could see so many apartments. Huwezi pata apartments Karen, Runda or Muthaiga
What is an estate without water to wash one's ass!
Same goes to cities like moscow sochi, st petersbarg, cech, etc if you are talking about modern cities nyingi sana hazina modern culture but kwa east Africa Dar ndo inaongoza kwa Modern building culture
Halafu umenikumbusha, nyie majirani roho kwatu sana. Sisi tunawauzia chakula kwa bei nzuri halafu nyie mnawauzia wadogo zetu bangiEndelea kuvuta bangi
Dar kuna nini ya kusifia? Dream houses?