Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yup. namaanisha mataa hayo. Tupia jengo lolote darislum linalong'arisha mji huo usiku. lete picha iliopigwa usiku tafadhali
 
Yup. namaanisha mataa hayo. Tupia jengo lolote darislum linalong'arisha mji huo usiku. lete picha iliopigwa usiku tafadhali

nilitarajia uje na picha ya jengo lolote lililo na projector au led lights. wacha aibu ndogo ndogo
vijana wa kikunya acheni kuendekeza kutafuna miraa bila kula chakula,matokeo yake mnaishia kuchekesha umma wa jf kama vikaragosi vya tom and jerry.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hip hop/trap lovers you gotta check out this kenyan music
 
 
Nairobi City is multi-cultural, multi-ethnic and diverse City.

Decisions on Africa and the world are taken right here in Nairobi
 

Attachments

  • C_oBjb5W0AE8HNJ.jpg
    24.2 KB · Views: 44
Tujuzane: Ni wapi ambako wazawa na Serikali zao wanamiliki haya majengo mazuri kwa wingi? Je, uhuru wa raiya kuingia Hotel lolote pasipo ubaguzi uko Taifa lipi? Je, ni nchi gani ina mazingira mazuri na yasiyo na ubaguzi ambapo raiya wake ana uhakika wa kufanya biashara na kuwa Tajiri haraka kati ya hizi mbili?

HAPA TUMEKUWA WATUMWA WA KUSHABIKIA MAFANIKIO YA MIRADI YA WANYONYAJI WASIOJALI MASIKINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…