Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo siamini wakenya wale wale walikua wakitutukana na kutukashifu miaka 10 iliopita leo wanahaha huku na kule.....kwakweli Tanzania imepiga hatua kwa kipindi kifupi sana na maendeleo sasa ndio yamepamba moto, shukran sana kikwete na pia nakushkuru magufuli kwa kuendeleza mwiba ule ule.....
Kikwete aliwashika vzr kwenye utalii na magufuli amewamaliza kwenye viwanda... Ahsante sana
 
Rwanda International Conference Centre Darislummers, tupieni dude kama hilo hapa kama liko danganyika nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…