Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dxtr Nasubiria Majibu ya hii quote
 
Dxtr Nasubiria Majibu ya hii quote

Kibra is closest slum to Nairobi CBD and you still have to go through several residential, community area then ndio ufike Upperhill kama unavyoona hapa. The rest hizo Mukuru, mathare etc ziko mbali sana na city center or any commercial hub. There's a clear boundary. Dar mmeshikana nyote. You can't compare


 
Nilikupa jibu bro. Sijui utaziita aje hizi makeshifts kama si slum

View attachment 1227631View attachment 1227632
Yan unatuletea vibanda wanavyouzia samaki huko baharini ndo unasema slums kweli hauna hata aibu.husizani kuwa hatujui kusoma au kuangalia picha jinsi inavyoonekana.


Njoo na picha za maana sio vibanda vya wafanyabiashara wanaouza samaki ferry
 
So hiyo stats niliyoscreenshoot kutoka wikipedia ni wanadanganya yaani nilizani kama mtakubaliana na ukweli kumbe bado unaendelea kubishana na ukweli.


Rest in peace bob

stats za NGO wanaopora wazungu kibera has less than 250k people , 250k being the highest
 
Nikikuambia Unatumia makwapa kufikiria nitakuwa nakosea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Google Map search slums in Dar es salaam kisha ulete, then search slums in Nairobi kisha lete hapa screenshot.

Kwa uhakika zaidi, hii hapa Dar. Huezi tofautisha commercial hub na slums



This is old Nairobi below before Britam, UAP and KCB towers. See the distinction. The slum is nowhere close to commercial hubs



 

Attachments

  • kibra.jpg
    36.9 KB · Views: 13

Eti zipo out of residential areaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu jama Dxtr katumwa na Nicxie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. hizo ndo residents zao.. au kisa hawakai kwenye nyumba za matofali...au hujui maana ya resident areas/ manaakee ni makazi ya watu.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ once again Kenyans on the move..
 
View attachment 1227639
Hiyo fukwe ya bahari mzee hayo sio makizi ya watu .. watu wameeamua kujiekea vibada vyao vyakukusanyia samaki zao.. usiku wanarudi majumbani kwao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leta nyingine apo umebigi
Achana nao wanatuon sisi ni watoto sana hatujui kutofautisha kati ya vibanda vya biashara na makazi ya watu na kwel wamebugi vbay mno
 
Kutoka kibera hadi nairobi cbd ni km chache sana tena husijaribu kuongea uongo wako tena ni km6.6 Labda kidogo mathare ni km11 hivi kutoka nairobi cbd ila kiukweli hiyo kibera ndo iko karibu sana na mji
 
Yan unatuletea vibanda wanavyouzia samaki huko baharini ndo unasema slums kweli hauna hata aibu.husizani kuwa hatujui kusoma au kuangalia picha jinsi inavyoonekana.


Njoo na picha za maana sio vibanda vya wafanyabiashara wanaouza samaki ferry

Pia hizi ni sehemu za kuuzia samaki sio?

 

The level of stupidity and ignorance πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nisi sahau denials.. how do you compare thos two pics.. sasa Nicxie ni muongo πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini wewe ni mjinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .. no offense.. na nikisema ni bishane na mjinga nitakua mjinga na miye... ata hivyo it’s freedom of speech.. do what you think is right. and you have the audacity of calling yourself Dxtr πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
 
Picha kutoka pande ya Karen via Lavi na Hurlingham, niambie kama unaona slum karibu mahali. Nipatie aerial view ya Dar kutoka angle hata 3 different pasipo na mabanda

 
So ndo umeona hizo ndo slums zinazofanana na za kibera.kweli nimeamini umejaribu kutafuta slums za dar hadi ukazikosa.


Hizo sio slums bali ni normal house ambazo ziko unplanned ila sio slums(poor houses) kama za kibera

so mabati houses and mad houses are normal houses in dar i now get it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…