Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa Kama wewe umeshindwa kuwa mkweli na muwazi kuhusiana na corruption and slums.Nani atakayekubaliana na ukweli?
 
Simu yako si ina Google Map,
Ingia Google Map search slums in Dar es salaam kisha ulete hiyo screenshot hapa kisha tena Search slums in Nairobi kisha lete hiyo screenshot hapa,.
Corruption ipo kila mahali ila hapo kwenu ni kubwa sio mchezo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Av been to Westlands,
Not very special, Upperhill sawa,
I see the Chinese saved your asses, Six towers at once was a game changer.
Nasifia Kijitonyama kidogo waanza kupiga kifua tena? Westlands horizontal infrastructure ndio mbovu lakini the buildings were fine even before GTC. The thing is that area was not suppossed to have such tall buildings based on Nairobi's zoning laws. Next time take a drive on Waiyaki Way all the way from CAK then into the Westlands CBD. It's definitely worth to be praised
 
Hiyo ATCL kwanza ibishane na Fly540, Precision Air (subsidiary ya KQ) and Fastjet kabla wafikirie kupingana na KQ ambayo bado inatesa hata ikiwa ICU
Haya twambie kq inamiliki ndege ngap naomba ujibu swali ukiwa na ushahidi🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa Kama wewe umeshindwa kuwa mkweli na muwazi kuhusiana na corruption and slums.Nani atakayekubaliana na ukweli?
Sijakataa kuna slums Nairobi kwanza nyingi sana but at the same time the middle class is big and from the numbers, its much bigger than that of Dar. Which is what most Kenyans are arguing hapa. Unless you come with a different figure from a reputable source. No offense intended. This is typical Nairobi below, like any other city in a developed country.





 
Japan sio nchi ya tatu kwa utajiri bali nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa ulimwenguni.
Tofauti kat ya nchi za kitajir na nchi zenye uchumi mkubwa nimeelezea na nimeleta hapo juu kaka ebu kasome vema.
 
here are Dar's slums



 
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huja jama anajikuta anajua ung’eng’e sasa sijui ana show-of kwa nani.. embu mskiieni β€œbased on the tenor of this conversation I am am inclined to vary the procedures and insult you will all the derogatory nouns and pronoun available in my vocabulary” tf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ your vocabulary? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sema vocabulary yawa colony... eti your vocabulary.. stfu .. Kenyans at it again πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanangu Walker255 mpoteze huyu jama πŸ˜‚πŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Japan sio nchi ya tatu kwa utajiri bali nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa ulimwenguni.
Tofauti kat ya nchi za kitajir na nchi zenye uchumi mkubwa nimeelezea na nimeleta hapo juu kaka ebu kasome vema.
Thank you so much,at least we have a common understanding!!!..Japan is not the third richest nation in the world as far as GDP is concerned!..i rest my case...now can you advise your gay friends to shut the *** up!!!!
 
Kwa jinsi anavyotaka kuonekana kuwa anajua English, anatumia dictionary kuandika reply zake πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ananikumbusha rafiki yangu wa high school hivi tuliapply wote kwenye top Ivy league schools, yeye aliapply Brown, sasa kuandika essay ili kuwaimpress admissions officers akaona aandike kutumia synonyms za maneno kama yote, yaani ukisoma utadhani lugha huijui ila sasa akaend up being rejected na alikuwa na grades nzuri tu. Huyu mbwa koko hana lolote, akiona ameshindwa anaanza kuwaita wapinzani wake malaya kumbe malaya ni yeye mwenyewe.
 
Walker255..Kindly listen to your gay friends and let it go....I really enjoyed myself but just for a recap i dont entertain embodiments of the McCarthyism mentality and neither do I live in pseudo or innate fear, real or imagined...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…