Mbona mnaogopa sana hizi picha za ramani? 😂 😂 😂 😂Naona bado unatapatapa badala ya kuleta picha zinazoonesha vizuri unaleta picha za kwenye ramani umeishiwa sera.leta ground photograph zinazoonesha slums nikupatie sahivi ksh 10k
See!.... You still comparing Dar with the slums of Nairobi. Says a lot about your glorified fishing village. Can you show me aerial views of your so called estates aka dream houses?
Mbona mnaogopa sana hizi picha za ramani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehehe... You can beat around the bush all you want but you can't run away from realityDSM ni kubwa na hapo hatuna aerial view ya picha za maeneo mengi sana....
1.bunju
2.salasala
3.mbezi
4.goba
5.kigamboni
6.sinza
7.mikocheni
8.chang'ombe
na maeneo mengine kibao tu......tukisema tupige aerial ya izo area tutakimbiana mzee ojwani.....hizo ni baadhi tu ya maeneo[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1217913
Mwanasaikolojia 😂 😂 😂 😂Upo emotional sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu unapanik ovyo ovyo sana [emoji23][emoji23][emoji23] kama mtaalam wa saikolojia nilishagundua hilo kitambo,
Huwa picha nzuri za Dar zikitumwa huwa nakuona namna unavyo paniki [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ulitegemea Dar kuwepo na slums ila bahati Nzuri hazipo na haitokuwepo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa taarifa yako picha za Dar karibia 60 percent hazijawahi kuwa uploaded humu,
Usiwe emotional hivo relax pata glasi moja ya maji oooh sorry nilisahau Nairobi maji ni shida,
Walaumu waliosababisha Nairobi kuwepo na slums nyingi usituletee paniki za kijinga humu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanasaikolojia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anyway, it's good to know we have a psychologist in the house. Now back to business, can you please show us aerial shots of your estates?
Hapo unapoishi haina jina? Mtaa wako haina jina? Am not asking you to show me pictures of your house (am not even interested in that). Show me aerial view of that area you live in. It's that simpleSikai estate nakaa kwangu.
jiji lenu bado ni kijiji mzee......jengeni kwanza kisha ndiyo mje kushindana na dar........Kama hamna picha unaweza toa hata google earth. Zile za Nairobi nilizoleta pia nilitoa huko huko google earth, sio picha nilizopiga mwenyewe
Hapo unapoishi haina jina? Mtaa wako haina jina? Am not asking you to show me pictures of your house (am not even interested in that). Show me aerial view of that area you live in. It's that simple
Mnajenga vibanda kila mahali na kuziita dream houses mnajiona mmefika sana. Hakuna tofauti ya hizo uswazi zenu na Mitaa za mabanda Nairobi. That's why hamuwezi leta picha za juu za mitaa zenu, lakini za pale cbd mnaleta haraka tena sanajiji lenu bado ni kijiji mzee......jengeni kwanza kisha ndiyo mje kushindana na dar........
haina haja ya kupoteza mda hapa mzee
Unataka pa kufikia auHapo unapoishi haina jina? Mtaa wako haina jina? Am not asking you to show me pictures of your house (am not even interested in that). Show me aerial view of that area you live in. It's that simple
mzee ojwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu jicheke kwanza hauoni kma unajiumbua mwenyeweHehehe... You can beat around the bush all you want but you can't run away from reality
You mentioned Sinza and this is it
View attachment 1217926
Compare and contrast
View attachment 1217927
What a difference!
Ingia google earth utafute tabata, Vungunguti, Sinza, Kisiwani, Mwananyamala, Mabibo, Kitunda, Segerea, no. Utacheka ufeIngia Google Map tafuta kigamboni
Hatuna vibanda vya mabati kama vya kwenu tunanyumba za matofali( block) na sio vibanda kama vya kwenu slums(poor houses)Mnajenga vibanda kila mahali na kuziita dream houses mnajiona mmefika sana. Hakuna tofauti ya hizo uswazi zenu na Mitaa za mabanda Nairobi. That's why hamuwezi leta picha za juu za mitaa zenu, lakini za pale cbd mnaleta haraka tena sana
Ingia google earth utafute tabata, Vungunguti, Sinza, Kisiwani, Mwananyamala, Mabibo, Kitunda, Segerea, no. Utacheka ufe
tembea ujioneee uliza wenzako wanaoishi huku watakuambia ,,,,,kama hivyo ni vibanda ama ni nini.....,,,,,,Mnajenga vibanda kila mahali na kuziita dream houses mnajiona mmefika sana. Hakuna tofauti ya hizo uswazi zenu na Mitaa za mabanda Nairobi. That's why hamuwezi leta picha za juu za mitaa zenu, lakini za pale cbd mnaleta haraka tena sana
tembea ujioneee uliza wenzako wanaoishi huku watakuambia ,,,,,kama hivyo ni vibanda ama ni nini.....,,,,,,
hapo hampagusi
huyo jamaa chizi ukoo wao wote maisha yao yanaishia kwenye estate.....unakuta babu mzaa babu ,baba ,watoto,vijukuu wote wanaishi kwenye kaestate kenye two room...[emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie aingie Google Earth kwenye computer yake alafu azoom hadi 100% kisha aswitch to 3D alafu achunguze jiji lote la Dar hususan hayo maeneo anayo ya taja taja ovyo [emoji23][emoji23][emoji23]
hebu leta picha za chini za hayo magodown yenu looking ze same ....mnaishi mnaishi kama students mpo kwa school[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].Hehehe... You can beat around the bush all you want but you can't run away from reality
You mentioned Sinza and this is it
View attachment 1217926
Compare and contrast
View attachment 1217927
What a difference!